Wa mwisho ndiyo mshindi

Sehemu nyingine mbalimbali hutumika zaidi kuficha madawa ya kulevya, we fikiria namna watu walivyo na ubunifu wa ajabu, yaani wanachomeka ngada katikati ya muhogo, ngoma inasafirishwa toka Tanga hadi Dar wewe ukijua ni Fuso limejaa mihogo kutibu ukata wa njaa kali ala kumbe Ngada hiyo. Achana na vita ambayo adui yako humwoni, yaani ni kama alshabab vile
 
Vile ulivyoandika hilo gazeti unaonekana hivi hivi una hasira na wauza ngada
 
Ngada kaka vita yake ni kali sana, si utani - hawa jamaa ni kama wana imani ambayo kutajana ni dhambi
Dhambi ya hiyo Ng'anda ni mbaya watakuja kujuta wanaopigana vita ili waendele kufanya hiyo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…