Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kiddish ndio nini mkuu? Hebu acha lugha za kihuni, kama ningekua Mode ningekupiga BAN

Ban kwani ni lugha ya kihuni? Kidish kwa lugha nyepesi twaweza sema kitoto/utoto na nyingine nyingi.
 
nyingi ni kifupi cha nyingine, kumbe ndo maana ya kiddish? lugha ya kiingereza ni pana vibaya
 
Back
Top Bottom