Sumu9 namsubiri anijibu sakayo wala hana muda na mimi amebaki anachekacheka tu, sijuwi haoni jitihada za kumsifia dada ako aba pozi sana ila sichokiSana kumbe ndio zilivyo me sijuagi eti
Dada baadaye ngoja nichaji na nifue kidogo.. Usimtenge Toxic9 aka Mr sumu9
Bed unajua vingi ndio Ila hivyo mpe mkeo sio mivhepuko atiSio mbaya kujipa promo mkuu, watu wenyewe hawatoi sifa wakati najua vingi vya bed
Sumu9 tenaSana kumbe ndio zilivyo me sijuagi eti
Dada baadaye ngoja nichaji na nifue kidogo.. Usimtenge Toxic9 aka Mr sumu9
Mtoto mzuri ni yule anayesikiliza na kutii kama mimiEeeeh, basi sawa. Kakojoe ulale mtoto mzuri
Inauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] toa uma weka kijiko mkuuJamani njaa inauma
Tena ilo ndio jina lake la kiswahili ajawahi kukuambiaSumu9 tena
Nduguyo yupi jamanii, mie kwetu wa mwishoMajukumu yamezidi ndio sikatai Ila me Niko single kwa sababu sina na sijapata ukizingatia wewe ulinyima nduguyo
Ati mchepuko mimi sina mchepuko, sakayo ni mke wewe endelea kuto juwa, atakavyo beba ujauzito ndiyo utaelewaBed unajua vingi ndio Ila hivyo mpe mkeo sio mivhepuko ati
Kweli atafaidi sana mdogo wangu ni mtulivi na mpoleeeJamani mmeona sasa hadi dada sakayo anajua me bado sana sijui bikra was kiume yupo kama yupo basi ndio mie seriously nitakayempata atanifaidi kweli
Sichoki kusema asante mzee wa sumuSumu9 namsubiri anijibu sakayo wala hana muda na mimi amebaki anachekacheka tu, sijuwi haoni jitihada za kumsifia dada ako aba pozi sana ila sichoki
Mimi pia ni mtiifuMtoto mzuri ni yule anayesikiliza na kutii kama mimi
Mkuu simu ina chaji bado eh, endelea kutudanganya mdogo wanguInauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] toa uma weka kijiko mkuu
Kukuambia ukweli hajawahi semaTena ilo ndio jina lake la kiswahili ajawahi kukuambia
Utaelewa mie ni njia kuu tu, mdogo wangu usiwaze sana toxic9 ana mdogo wake sema kabila sasaAti mchepuko mimi sina mchepuko, sakayo ni mke wewe endelea kuto juwa, atakavyo beba ujauzito ndiyo utaelewa
Hivyo hivyo tu pacha si ndo kasemaHahahahahaha, nawe unakubali Kirahisi hivyo hivyo
Kasema na uongo huyoHivyo hivyo tu pacha si ndo kasema
Sasa tukianza kuoa kwa kuangalia kabila basi sawa.... Nyerere alishakataa ukabila, mpare, mchaga, mnyakyusa, msukuma, mkurya nk hawa wote ni tanzaniaUtaelewa mie ni njia kuu tu, mdogo wangu usiwaze sana toxic9 ana mdogo wake sema kabila sasa
Tanzania ndio, ila kaka mpe basi yule mdogo wakoSasa tukianza kuoa kwa kuangalia kabila basi sawa.... Nyerere alishakataa ukabila, mpare, mchaga, mnyakyusa, msukuma, mkurya nk hawa wote ni tanzania
Kasema nimekudanganya pacha, muache sakayo ni binti fulani hivi amazingi sema ana poziHivyo hivyo tu pacha si ndo kasema
Pozi kawaida kwa mwanamke, tena mwanamke wa mbeguKasema nimekudanganya pacha, muache sakayo ni binti fulani hivi amazingi sema ana pozi