Wa mwisho ndiyo mshindi

Lakini si huwa unanifulia jamani sakayo wangu, leo kunisusia kwenye ndoo ndiyo nini, kuna haja ya kununua mashine ya kufua kumbe, maana kiburi chako sikiwezi mpendwa wangu.
Wangu sina kiburi ni majukumu yameingiliana tuu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…