Wa mwisho ndiyo mshindi

Afya yako leo ikoje, Afadhali hata leo umekumbuka kuulizia, mie sijambo mkuu wangu nimemaliza dozi saizi nakimbizana maisha.
Vipi wewe hali yako, miss wewe sana
Sana kipenzi sijasahau leo kukujulia afya, ukiumwa moyo wangu unasinyaa hata blood flow inakuwa kwa shida[emoji23] [emoji23],dozi imekusaidia lakini??? miss you alot mrembo sakayo
 
Sana kipenzi sijasahau leo kukujulia afya, ukiumwa moyo wangu unasinyaa hata blood flow inakuwa kwa shida[emoji23] [emoji23],dozi imekusaidia lakini??? miss you alot mrembo sakayo
Sakayo naendelea vizuri mwayaa kaka yangu, Mungu ni mwema anazidi kunitia nguvu. Penda wewe sana toxic9 sema Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…