mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Happy[emoji3] [emoji3] [emoji3] Happiness: The emotion that puts your face in motion. Fear: The emotion that puts your legs in motion. Anger: The emotion that puts your fist in motion. Lesson: Don't be afraid or angry and you won't have to run and fight.U make me feel happy
Yanaongezeka Mambo maovu mpaka shetani anatuogopaMungu wetu ni mwema siku zote ila watu hata hawamwagopi kila kukicha matukio ya uvunjifu wa sheria zake yanaongezeka
Sisi tumezidi kiasi kwamba anayaona tunayoyafanya ni brand new madhambi
Yanaongezeka matatizo mengi kutokana na ugumu wa maisha.Mungu wetu ni mwema siku zote ila watu hata hawamwagopi kila kukicha matukio ya uvunjifu wa sheria zake yanaongezeka
Mara ndiyo mkoa unaoongoza kwa ukatili wa wanawakeMaisha hayakufanyia kuwa mtu dhambi kila mara
Wanafanyiwa ukatili kutokana na roho mbaya na ubabe wa wanaume wa kule na mila na desturi zinachangiaWanawake wenyewe ni wababe sana ndo maana wanafanyiwa ukatili
Hizi mila mbaya. inatakiwa zianze kukemewa na mtu mmoja mmoja majumbani mwetuZinachangia kivipi wakati serikali IPO IPO tu na haijachukua hatua Kali dhidi ya mila hizi
Kikurya asili yake wapi kwani hata ukienda Kenya Kuna watu wanaongea lafudhi ya Kikurya maeneo ya Masai MaraMwetu ni kijiji kimoja kipo mkoa wa Tabora huwa kina watu wenye imani potofu sana na kinapenda pia mila za kikurya
Wafugaji au wakulima nani ana fedha nyingi ya kuhonga viongozi wa serikali za mtaa, tuanze kutafuta chanzoWatanzania tunapendana tatizo ni viongozi kuhodhi maeneo bila kuyaendeleza hivo wataifishwe halafu wapewe hao wafugaji
Mwetu ukimaanisha!!!!!, hakuna mila zenye ukakasi kama ukeketajiHizi mila mbaya. inatakiwa zianze kukemewa na mtu mmoja mmoja majumbani mwetu