Jero, BOT wanazitaka Jero Noti mapema kabla ya december 30 fanya hivyo lapse time haijafika maana hawatachukua na hazitatumika kwenye muamala wowote kuanzia hapo reference to BOTHovyo hovyo ni bila kuwa na mipango ukiwa ivyo m20 utaiona km jero
BOT ndio imesema hivyo? Mbona nasikia wamekanushaJero, BOT wanazitaka Jero Noti mapema kabla ya december 30 fanya hivyo lapse time haijafika maana hawatachukua na hazitatumika kwenye muamala wowote kuanzia hapo reference to BOT
Jero, BOT wanazitaka Jero Noti mapema kabla ya december 30 fanya hivyo lapse time haijafika maana hawatachukua na hazitatumika kwenye muamala wowote kuanzia hapo reference to BOT
BOT ndio imesema hivyo? Mbona nasikia wamekanusha
Hili jambo tuliache tuwamekanusha? inabidi kufwatilia jambo hili
Mwanzo wa kila jambo huwaga gumu, ila tunahimili......BOT wametangaza lini sijasikia lakini hazipo kwenye mzungu kama ilivyokuwa mwanzo
tunahimili kutokana na baraka zake Mwenyezi MunguMwanzo wa kila jambo huwaga gumu, ila tunahimili......
Hili jambo tuliache tu
Wamekanusha kwa waraka upi mamaafacebook, kwanza hujambo jana mmekesha nimestuka usiku nikakuta mpo kwenye hot topic na mzee wa T 199O huyu mwenye namba za gariBOT ndio imesema hivyo? Mbona nasikia wamekanusha
Mwanzo walitoa tamko wanataka kuziondoa kabisa jero noti na sahivi vikoini vya jero vimejaa kwenye mzungukoBOT wametangaza lini sijasikia lakini hazipo kwenye mzungu kama ilivyokuwa mwanzo
Tunahimili mabadiliko ya kasiMwanzo wa kila jambo huwaga gumu, ila tunahimili......
Mungu ametufanyia wepesi kwenye magumu, hakuna linaloshindikanatunahimili kutokana na baraka zake Mwenyezi Mungu
Gari gani yenye namba T1990 bila kuwa na herufi Tatu mwisho wa hizo namba?Wamekanusha kwa waraka upi mamaafacebook, kwanza hujambo jana mmekesha nimestuka usiku nikakuta mpo kwenye hot topic na mzee wa T 199O huyu mwenye namba za gari
Gari gani yenye namba T1990 bila kuwa na herufi Tatu mwisho wa hizo namba?
Kirumi kinaendana na kilatino....namba zinasomeka kwa kwenda mbele hadi za kirumi
Mchochezi kwa mithili ipi, mamlaka husika walikuwa wapi dissemination of information was gone to the society bila wao kujuwa it was informal, ila sahivi kila jambo ni uchochezi hivi kazi ya ICC ni ipi au taifa sio wanachama?Uhakika ni kwamba juzi tu BOT wamekanusha taatifa hizo za usushi,na wewe ukiendelea kuzusha hivyo utaitwa mchochezi.
Kilatino ni lugha tamu kwa muziki wa charanga