Wa mwisho ndiyo mshindi

Wageni wote mnakaribishwa ila tu hakutakuwa na bia maana mimi ni mpendwa mimi na vile ni marufuku
 
Igw

igweee, we mbona hutoi mwaliko?
Mwaliko nimetoa mkuu, ni wewe tu kuja, ila mtagonga maji mwanzo mwisho hakuna bia, misosi kazi ni kwako mbuzi choma, micshemsho ya kuku, samaki, ng'ombe, wali, pilau, ndizi, matunda, rojo, sambusa, wali wa maua, mishikaki, mtura, njegere rojo, mtori kazi ni kwako andaeni matumbo tu jamani wapendwa
 
Wapendwa Mwenye huu uzi alienda wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…