Wa mwisho ndiyo mshindi

Tamaa mbele mauti nyuma ni msemo uliotumiwa na wazee wetu wa zamani lakini kwa sasa hauna maana maana tamaa ndio kipaumbele cha mwanadamu
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi hapa duniani si nyingi

Hatuna budi kumushukuru mwenyezi MUNGU kwa kila Jambo maana hatujui siku wala saa. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…