Wa mwisho ndiyo mshindi

Mke sasa, hapo ndipo watu wengi wanapo koroga, wako busy kuangalia mwenye makalio(chura), taifa, familia halijengwi kwa makalio(chura) bali kwa fikra bora

Bora umetambua hilo mapema kabla ya kuingia ndoani, upendo, uvumilivu, kusameheana na kuwajali wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…