Ukichanika zinatoka zenye rangi nyeupe, unajua kufafanua vyema we ni mwalimu??Tena sufi zinafanana na pamba mti wa kwake ni mkubwa mfano wa mwembe, zile nyuzi(sufi) zinajazwa kwenye mto wa kulalia, godoro au kochi..unawaona kwenye muvi/nyimbo za video wapenzi wakipigana mito kitandani zinaruka mto ukichanika
Wewe ukiona foleni kubwa bora upande gari za mwendokasi hata kama huna kadiWapi ulipo wewe
Kadi ya kliniki auWewe ukiona foleni kubwa bora upande gari za mwendokasi hata kama huna kadi
Tu au ta zote silabiZipo za kutosha tu
Sana kwa sababu ya ngozi yangu ya asiliWw umependeza sana
Zipo sababu ya vikwazoKitambo sana tunategemea mafanikio makubwa japo changamoto za hapa na pale zipo
Vikwazo ni vya kupambana navyo na si kuvikimbiaZipo sababu ya vikwazo
Silabi umenikumbusha kipindi hiko nusery sijui kuandika na kusomaTu au ta zote silabi
Kuvikimbia sio solutionVikwazo ni vya kupambana navyo na si kuvikimbia
Au ukipanda mwendo kasi kama ni abiria wa kila siku unaweza kununua kadi ili kuepuka foleni ya kukata tiketi kila sikuKadi ya kliniki au
Solution ni kukubali matokeo japo inaumaKuvikimbia sio solution
Inauma lkn itapoa na utakuwa sawaSolution ni kukubali matokeo japo inauma
Abiria wa mbagala ni wengi snMwendokasi ni hatari kwa usalama wa abiria
Abiria wanafurahia huduma ya kuwahi mapemaMwendokasi ni hatari kwa usalama wa abiria
Sawa na maji ya moto kwenye sufuria yanapoa baadaeInauma lkn itapoa na utakuwa sawa
Sana na kwa sababu hawajawekewa huduma ya mabus ya mwendokasi, lakini barabara ipo kwenye ujenziAbiria wa mbagala ni wengi sn
Ujenzi huo utakamilika siku si nyingiSana na kwa sababu hawajawekewa huduma ya mabus ya mwendokasi, lakini barabara ipo kwenye ujenzi