Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisaJinsi clouds inavyopigwa mawe na mara watu wanadai hawaisikilizi lakini hao hao hawakosi kuanzisha thread.
Kuna zaidi ya redio stations kumi lakini everytime mnaongelea clouds wengine hadi wanadiriki kutaka kuibebesha majukumu ya tbc