Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Jinsi clouds inavyopigwa mawe na mara watu wanadai hawaisikilizi lakini hao hao hawakosi kuanzisha thread.
Kuna zaidi ya redio stations kumi lakini everytime mnaongelea clouds wengine hadi wanadiriki kutaka kuibebesha majukumu ya tbc
Mkulu mwenyewe kawachagua sembuse sisi
 
MI clouds naangaliaga shilawadu tu ila radio huwa sisikilizi kabisa
 
Rc n mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa hakuna shida akitoa order, hapo kwa Igp labda unikumbushe ilikuaje
 
Jinsi clouds inavyopigwa mawe na mara watu wanadai hawaisikilizi lakini hao hao hawakosi kuanzisha thread.
Kuna zaidi ya redio stations kumi lakini everytime mnaongelea clouds wengine hadi wanadiriki kutaka kuibebesha majukumu ya tbc
Kama ukimsoma mleta mada kwa makini utagundua kuwa sio tu msikilizaji au mtu from no where... bali maybe ni mfanyakazi wa clouds so ana uhakika na anachokisema. Japokua ni kweli clouds wanajitahidi sana
 
dsc_0773-jpg.586175



Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media Group ni mwanadada Fauzia. Huyu ndiye mastermind wa kila kitu kinachofanyika mjengoni kuanzia uajiri, nani atangazwe, nani apate udhamini, ajira nk.

Fauzia cheo chake kwa haraka utadhani ni msaidizi wa Ruge na aliwahi kuwa msaidizi wa Kusaga mwanzoni, baada ya muda kutokana na uchapakazi wake majukumu yameongezwa anafanya kazi za operation anahakikisha kila kinachofanyika kina mkono wake.

Ukichukiwa na Fauzia kama ni mtangazaji jua maisha yako ni magumu, waulize Asmah Makau, Regina Mwalekwa, Doreen Andy, Anorld Kayanda na wengine walioishia kukalishwa benchi au “kupangiwa kazi nyingine”

Msanii ukizinguana na Fauzia habari yako ndo imefikia mwisho, mfano mzuri ni Ruby ambaye wengi wanadhani ugomvi wake na Zamaradi ndio ulisababisha lakini ukweli ni kwamba Fauzia ndiye kampiga pini. Kuna orodha kubwa ya wasanii ambao wamekuwa blacklisted nyimbo zao hazipigiwi kwa sababu walitaka kumpanda kichwani. Hata Diamond majuzi alipoanzisha bifu na Kiba alijikuta wimbo wake mpya wa Zilipendwa hauchezwi sana kulinganisha na ule wa Kiba, akanyimwa interview ya kuutambalisha katika XL kwa sababu tu alitofautiana lugha na Fauzia.

Kama ni event organizer wa bongo unataka udhamini wa Clouds kama media partner hakikisha uko vizuri na Clouds. Muulize muandaaji wa nyamachoma festival ambavyo mara kadhaa alijikuta akikwaa kisiki kutokana na kuzinguana na Fauzia.

Na mwisho kabisa usiwaze hata siku mmoja kwenda kwa Ruge au Kusaga unaposhindwa kuelewana na mwanadada Fauzia, tafuta mtu awapatanishe maana bila hivyo sahau kufanya kazi na Clouds.

Huyu ndiye Fauzia Kurane, the woman who leads from behind and make things happen.
Mbona kama sio Mtanzania hebu tuanzie hapo kwanza, tafadhali wazee wa uhamiaji kuna mhabeshi ananyanyasa raia wema waliomchagua raisi magufuli
 
Yy Yupo kitengo gani hasa(fauzia)

days are numbered
Ndio maana nashangaa wimbo wa zilipendwa haupigwi ndo hadi nikawa najiuliza ni mbaya kiasi hicho kuliko wa seduce kiba
Jinsi clouds inavyopigwa mawe na mara watu wanadai hawaisikilizi lakini hao hao hawakosi kuanzisha thread.
Kuna zaidi ya redio stations kumi lakini everytime mnaongelea clouds wengine hadi wanadiriki kutaka kuibebesha majukumu ya tbc
Fau ana wezere?
Anaakili mbovu sana kama ndio hivo.. Na wasivyo na aibu wanajitangaza radio ya watu wakati inaendeshwa kwa wenge la mtu mmoja..
Ni Mnyarwanda au Msomali...!?
Mbona ukumalizia kutupa/kumwaga BIOGRAPHY yake...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wazima mchana jumatatu badala mfanye kazi mnakuja kumjadili mwanamke mchapa kazi shame on you! mwacheni dada wa watu
 
wanaume wazima mchana jumatatu badala mfanye kazi mnakuja kumjadili mwanamke mchapa kazi shame on you! mwacheni dada wa watu
Naona una hamu ya kuquote watu kuna sehemu nimemjadili huyo dada hata sehemu moja? Endelea kutafuta tu
 
wanaume wazima mchana jumatatu badala mfanye kazi mnakuja kumjadili mwanamke mchapa kazi shame on you! mwacheni dada wa watu
pole bidada wenzio wekeend ni jumatatu wewe kama unategemea kukinga mkono mwisho wa mwezi ukimsaidia mtu mwingine kutimiza ndoto zake endelea.. Wengine tulishatoka huko...by the way uwe wazi ni kazi unatafuta ama nini... Wengine tunaweza kukuajiri kama unavigezo
 
Jamaa wana maslahi na Kiba kwa kipindi hiki wanachokiita 'msimu' ndio maana wana mpromote yeye sana over Mondi....hakuna sababu nyingine yoyote, kama kusoma hujui na picha pia huoni?

Huyo Rubi alizenguana nao wazi wazi, kasikika mitadaoni akilalamikia malipo aliyoyaita kiduchu, sasa hapo huyo Fauzia anaingiaje?...sidhani kama una uhakika na unachosema...au unatuambia ni Fauzia peke yake ndiye alikwazwa na shutuma za Ruby ila wengine wako ok?
 
hivi huyu dada mbona mnyarwanda..kuna uzi hapa uliletwa kuhusu ruge kuwa kijana wa kagame
 
Kutukupiga nyimbo sio suluhisho coz anatengeneza matabaka tuu wakat ni radio ya watu
 
Hizi chuki tunazozieneza dhidi ya hawa clouds mimi naona ndo zinazozidi kuwaweka juu zaidi.

Kuna Redio kibao tu hapa Bongo, Lakini kila mara utakuta threads za kuwashutumu wao tu, je, mnataka kutuaminisha kuwa hawa clouds wako vibaya tu!?

Inamaana wao hawana mazuri hata kidogo yanayostahili pongezi!?

Mimi nilikuja kugundua kuwa humu jf kuna watu tena wengi tu ambao wanachuki binafsi na hawa clouds pale walipoanzisha suala la semina za fursa coz watu wengi humu jf mlipinga sana mkasema kuwa ni njia ya kuwaibia watu.

Kumbe hakuna kiingilio kwenye hizo semina za fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom