Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Wa kuogopwa Clouds sio Ruge au Kusaga

Hizi chuki tunazozieneza dhidi ya hawa clouds mimi naona ndo zinazozidi kuwaweka juu zaidi.

Kuna Redio kibao tu hapa Bongo, Lakini kila mara utakuta threads za kuwashutumu wao tu, je, mnataka kutuaminisha kuwa hawa clouds wako vibaya tu!?

Inamaana wao hawana mazuri hata kidogo yanayostahili pongezi!?

Mimi nilikuja kugundua kuwa humu jf kuna watu tena wengi tu ambao wanachuki binafsi na hawa clouds pale walipoanzisha suala la semina za fursa coz watu wengi humu jf mlipinga sana mkasema kuwa ni njia ya kuwaibia watu.

Kumbe hakuna kiingilio kwenye hizo semina za fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukweli kabiaa mkuu.
Ile show ya EFM waliyofanya kawe wakampandisha Makonda laiti ingekuwa clouds wangesemwa humu mpaka basi.
Watu wako obsessed na clouds mpaka basi.
Ukisoma comment za watu utasikia wanadai hawaisikilizi wala hawatazami tv yao lakini daily hao hao wanaanzisha thread kuhusu clouds mara kibonde kafanya hivi, mara sijui Ruge vile hadi najiuliZa wanayajuaje kama hawaifuatilii.
 
mbona hueleweki, sasa umeona wapi msaidizi yupo juu ya alijuu yake? em hacha kutupotezea muda kukomenti
We Hujawah Ona Baba Anapuluzwa Kama Ndala Na Mama Wakati Tunajua Baba Ndo Kichwa Cha Familia Unaweza Ukawa Mkubwa Na Umeweka Msaidizi Wako White Lady Walah Huwez Kua Na Sauti Tena Kazi Kama Hzo Mtu Anapewa Akisha Onja Tunda
 
Hizi chuki tunazozieneza dhidi ya hawa clouds mimi naona ndo zinazozidi kuwaweka juu zaidi.

Kuna Redio kibao tu hapa Bongo, Lakini kila mara utakuta threads za kuwashutumu wao tu, je, mnataka kutuaminisha kuwa hawa clouds wako vibaya tu!?

Inamaana wao hawana mazuri hata kidogo yanayostahili pongezi!?

Mimi nilikuja kugundua kuwa humu jf kuna watu tena wengi tu ambao wanachuki binafsi na hawa clouds pale walipoanzisha suala la semina za fursa coz watu wengi humu jf mlipinga sana mkasema kuwa ni njia ya kuwaibia watu.

Kumbe hakuna kiingilio kwenye hizo semina za fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnakimbilia kutumia neno chuki au "hater" kila kitu kikiongelewa kwa angle msiyoipenda hapa bongo. Nani asiejua kuwa idea ya fursa ilikuwa ya mtu mwingine clouds wakaichukua?
 
Nakubaliana na wewe, uyu ndie mtendaji mkuu msaidizi pale Clouds Media. Mambo yote yanapitia kwake ndio yafike kwa Ruge.
Uyo ndie atasema hawa wataenda Fiesta Mara na hawa watabaki na hakuna wakumpinga.
Uyu Dada ndio anawanyoosha pale Clouds ndio maana hakuna aliejuu zaidi ya kampuni.
Lakini ni Mwanamke flani mcheshi wala hana noma yoyote, ni rafiki wa wote.
 
Mtoa mada naona umetumwa uje uipigie promo clouds

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
dsc_0773-jpg.586175

Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media Group ni mwanadada Fauzia. Huyu ndiye mastermind wa kila kitu kinachofanyika mjengoni kuanzia uajiri, nani atangazwe, nani apate udhamini, ajira nk.

Fauzia cheo chake kwa haraka utadhani ni msaidizi wa Ruge na aliwahi kuwa msaidizi wa Kusaga mwanzoni, baada ya muda kutokana na uchapakazi wake majukumu yameongezwa anafanya kazi za operation anahakikisha kila kinachofanyika kina mkono wake.

Ukichukiwa na Fauzia kama ni mtangazaji jua maisha yako ni magumu, waulize Asmah Makau, Regina Mwalekwa, Doreen Andy, Anorld Kayanda na wengine walioishia kukalishwa benchi au “kupangiwa kazi nyingine”

Msanii ukizinguana na Fauzia habari yako ndo imefikia mwisho, mfano mzuri ni Ruby ambaye wengi wanadhani ugomvi wake na Zamaradi ndio ulisababisha lakini ukweli ni kwamba Fauzia ndiye kampiga pini. Kuna orodha kubwa ya wasanii ambao wamekuwa blacklisted nyimbo zao hazipigiwi kwa sababu walitaka kumpanda kichwani. Hata Diamond majuzi alipoanzisha bifu na Kiba alijikuta wimbo wake mpya wa Zilipendwa hauchezwi sana kulinganisha na ule wa Kiba, akanyimwa interview ya kuutambalisha katika XL kwa sababu tu alitofautiana lugha na Fauzia.

Kama ni event organizer wa bongo unataka udhamini wa Clouds kama media partner hakikisha uko vizuri na Clouds. Muulize muandaaji wa nyamachoma festival ambavyo mara kadhaa alijikuta akikwaa kisiki kutokana na kuzinguana na Fauzia.

Na mwisho kabisa usiwaze hata siku mmoja kwenda kwa Ruge au Kusaga unaposhindwa kuelewana na mwanadada Fauzia, tafuta mtu awapatanishe maana bila hivyo sahau kufanya kazi na Clouds.

Huyu ndiye Fauzia Kurane, the woman who leads from behind and make things happen.
Mkuu labda nikuulize nawe ni muhanga wa fauzia,kama fauzia anasimamia maslah ya kampuni anayoiongoza hakuna haja ya kumlaumu bora aachwe afanye anachosimamia!
 
hivi ni mtanzania huyu?
plus ako na wezere kweli?
 
dsc_0773-jpg.586175

Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media Group ni mwanadada Fauzia. Huyu ndiye mastermind wa kila kitu kinachofanyika mjengoni kuanzia uajiri, nani atangazwe, nani apate udhamini, ajira nk.

Fauzia cheo chake kwa haraka utadhani ni msaidizi wa Ruge na aliwahi kuwa msaidizi wa Kusaga mwanzoni, baada ya muda kutokana na uchapakazi wake majukumu yameongezwa anafanya kazi za operation anahakikisha kila kinachofanyika kina mkono wake.

Ukichukiwa na Fauzia kama ni mtangazaji jua maisha yako ni magumu, waulize Asmah Makau, Regina Mwalekwa, Doreen Andy, Anorld Kayanda na wengine walioishia kukalishwa benchi au “kupangiwa kazi nyingine”

Msanii ukizinguana na Fauzia habari yako ndo imefikia mwisho, mfano mzuri ni Ruby ambaye wengi wanadhani ugomvi wake na Zamaradi ndio ulisababisha lakini ukweli ni kwamba Fauzia ndiye kampiga pini. Kuna orodha kubwa ya wasanii ambao wamekuwa blacklisted nyimbo zao hazipigiwi kwa sababu walitaka kumpanda kichwani. Hata Diamond majuzi alipoanzisha bifu na Kiba alijikuta wimbo wake mpya wa Zilipendwa hauchezwi sana kulinganisha na ule wa Kiba, akanyimwa interview ya kuutambalisha katika XL kwa sababu tu alitofautiana lugha na Fauzia.

Kama ni event organizer wa bongo unataka udhamini wa Clouds kama media partner hakikisha uko vizuri na Clouds. Muulize muandaaji wa nyamachoma festival ambavyo mara kadhaa alijikuta akikwaa kisiki kutokana na kuzinguana na Fauzia.

Na mwisho kabisa usiwaze hata siku mmoja kwenda kwa Ruge au Kusaga unaposhindwa kuelewana na mwanadada Fauzia, tafuta mtu awapatanishe maana bila hivyo sahau kufanya kazi na Clouds.

Huyu ndiye Fauzia Kurane, the woman who leads from behind and make things happen.
Nikimgegeda je si ntakuwa narusha matangazo ya kampuni yangu bure kabisa¿
 
Kusema ukweli kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu, huyu dada ni mzuri sana na ana haki za kufanya hivyo anavyo fanya

Mwenye picha zake nyingi ziwekwe hapa maana ame crack my moyo...... Nimejaribu ku gogle picha zake bila mafanikio
dsc_0773-jpg.586175
 
Back
Top Bottom