Wa akina mama wote duniani... nikweli?

HAPO PEUSI TII... Umegonga penyewe.

Kwa mwanzisha mada, wanawake kudanganywa kimapenzi, hakuna tofauti na wanaume wanavyodanganywa na waganga wa kienyeji.
Ni kiasi cha kucheza na saikoloji ya " mteja" kujua angependa kusikia nini kisha unampa ile kitu roho inataka.

Mwaume unapoambiwa kaleta kiungo cha albino nawe unaenda kuleta..ina maana akili yako haioni kuwa hakuna uhusiano wowte kati ya kiungo cha binadamu na cheo au utajiri? Wengine ni wasomi wazuri tena wa baiolojia na kemia na bado hawawezi kuona ukweli!

mmhh kwa kweli labda unaongelea watoto wa shule za sec..

kwa sisi tuliodanganywa mpaka hakuna..
sasa hivi hatuangaali mwanaume mara mbili
ndoo maana tuko single mpaka leo..a kazi zetu
ku keep busy..

kwa sababu unaona wanaume wote waongo..
 
Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.

acha kumdanganya mwenzako
neno kutongoza linamaana ya KUSHAWISHI..
KUSHAWISH KOKOTE KULE HAIPO KWENYE MAPENZ TU...
mfano;MGOMBEA ubunge ANAWATONGOZA WAPIGA KURA ILI WAMPE/WAMCHAGUE ...upo kaka?
mtoto anamtongoza baba yake ili ampe pesa ya mchango wa picnic na wenzake shule...
byeeeeeee:car:
 
mmhh kwa kweli labda unaongelea watoto wa shule za sec..

kwa sisi tuliodanganywa mpaka hakuna..
sasa hivi hatuangaali mwanaume mara mbili
ndoo maana tuko single mpaka leo..a kazi zetu
ku keep busy..

kwa sababu unaona wanaume wote waongo..

kwan unajiingiza kwwa miguu yote miwil kwa kiumbe mwanaume?
mguu mmoja ndan mmoja nje..na nauli yako kbndon any tme pakiwaka we fasta :car:...

2'
kuwa makin n take tyme kumsoma mtu itasaidia kupunguza posibilities za kudanganywa ..smaanish ukimchunguza sna ndo hautadanganywa bt at list inasaidia..lakin wale wa puuu puuuh ndani ya wiki sjui mwez mmoja umeshafanya MAGAZIJUTO nae ahh apo kusepa,kudanganywa nje nje...
 
Haudanganywi ila unapewa mikakati na wewe unaingia king jamaa anakamua ukija kugundua kumekucha!!
 
Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.

Maneno yenye hekima ndiyo unayosema ya uwongo au? lazima aridhike kama kaambiwa maneno yenye hekima bwana!!!!
 
Hizo ni nguvu asilia. Mwisho wa siku wanawake wanatakiwa, na wanataka wamegwe! Kutongoza is just the means to justify the end.
 
Back
Top Bottom