Wa akina mama wote duniani... nikweli?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nasikia akina mama wote duniani hawajui kutofautisha ukweli na uongo hasa pale anapokuwa anatongozwa!!hata angekuwa ba PhD!anaweza akatongozwa na mubeba kago shimoni kariakoo kwa uongo mdogo!jamani naomba mnidhirishie kwakujikumbusha ulivyotongozwa na mwanandani wako jinsi alivyokupiga kamba ukajikuta umedondokea pua!

Hakuna lolote, wanaamua kwa utashi, hasa pale wanapokuwa desperate kutaka mahusiano. Kwa mfano wanaume wengi huogopa kuwatokea wamama wenye PhD. Ikatokea mbabaishaji mmoja kamtokea mama anajiingiza moja kwa moja kani anajua nafasi hiyo ni adimu. Sio kwa kudanganywa.

duuuuuhh hii kitu mie siwezi kukataa compliantly...

kuna wanume wajanja sana hapa duniani..
sio waongeaji sana ..
wala hata hawana maringo
yaani anafany uchunguzi wewe ukoje na unataka nini..
mmhhhhh
huu mtego mbaya sana..

mie ntakuwa wa kwanza ku admit nimewahi kutogonzwa na kijana ambae hana mbele wala nyuma..
uzuri nilifanya utafiti kabla hatukwenda kwenye 2nd date ..lol

lakini kuna wale wanaokuja na maneno ya kihuni " hao tunawajua hata hawaanza kutapika mamneno" lol

Haujasema je mlidate??au ilikuwaje?

Kwa ulivyouliza swali lako jibu ni Si kweli!Nikilichachua kua baadhi au wanawake wengi ni kweli!Mwenye nimeshuhudia juzi tu...Mwanaume mwenye mke..hawana matatizo kwenye ndoa yake..kakutana na binti siku ya kwanza hata hawakuongea akataka kumuona tena kesho yake!Walivyokutana siku ya pili akamwambia msichana kampenda sana na akisema ndio atamvisha pete ya uchumba siku inayofuata alafu amwache mke wake!Mdada kaamini!

Kutongozwa ndio nini?
Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.

Haujasema je mlidate??au ilikuwaje?

mmhh tulienda out kwa dinner..
tukaongea kijana mtanashati sana..
yaani kila kitu ambacho ninachotaka anakijua
maneno yote matamu ninayotaka kusikia kayasema..
mmmhh nikajisemea nimepata mume hahahah lol

kumbe jamaa aliingia kwenye facebook kafanya utafit wa kutosha kuhusu mie..
halafu kaanza kuniingia kilaaini..

kwa sababu tulidhani hii itakuwa kitu cha kudumu kwa hiyo hakuja kwangu wala sikwenda kwakweke hiyo siku ya kwanza..
usiku huo mie mawazo kibao na furaha tele..

nika ingia facebook kumu add as a friend ili nisome kidogo kuhu yeye..
nikakutana na mtu ambae namjua ambae alikuwa mmoja wa rafiki zake..

nikaanza kumuuliza maswali kuhusu huyo jamaa..
duuuhhh majibu kidogo nihame dunia..
yaani namtunuku PHD ya UONGO...

siku ya pili kanipigia nikamweleza wazi wazi ..

Kushawishiwa kufanya ngono namtu uliyekutana naye mara yakwanza yawezekana unamjua au umji lakini ukikutana naye anakuambia maneno yenye hekima nawewe unaridhika na hamasa zake mwenyewe unaongoza nyumba yakulala wageni naunatoa pant yako bilakulazimishwa unabangua amriya sita! Hapo ndiyo neno kutongoza linakuwa limekamilika!nadhani tupo pamoja.

kama nisiposhawishika kufanya mapenzi inakuwa sio kutongozwa?
Kutongozwa ikamilike lazima iwe siku hiyo hiyo au?

duuuuuhh hii kitu mie siwezi kukataa compliantly...

kuna wanume wajanja sana hapa duniani..
sio waongeaji sana ..
wala hata hawana maringo
yaani anafany uchunguzi wewe ukoje na unataka nini..
mmhhhhh
huu mtego mbaya sana..

mie ntakuwa wa kwanza ku admit nimewahi kutogonzwa na kijana ambae hana mbele wala nyuma..
uzuri nilifanya utafiti kabla hatukwenda kwenye 2nd date ..lol

lakini kuna wale wanaokuja na maneno ya kihuni " hao tunawajua hata hawaanza kutapika mamneno" lol

HAPO PEUSI TII... Umegonga penyewe.

Kwa mwanzisha mada, wanawake kudanganywa kimapenzi, hakuna tofauti na wanaume wanavyodanganywa na waganga wa kienyeji.
Ni kiasi cha kucheza na saikoloji ya " mteja" kujua angependa kusikia nini kisha unampa ile kitu roho inataka.

Mwaume unapoambiwa kaleta kiungo cha albino nawe unaenda kuleta..ina maana akili yako haioni kuwa hakuna uhusiano wowte kati ya kiungo cha binadamu na cheo au utajiri? Wengine ni wasomi wazuri tena wa baiolojia na kemia na bado hawawezi kuona ukweli!

Back
Top Bottom