W J Malecela kwa hili la wizi na kutokuwajibika kwa mawaziri ungekuwa upande gani?

- facts za cag ni za kimahesabu zaidi, muhimu ni legal facts katika cag report, bado sijaziona in full!

William.

report ya cag ndiyo inayotambuliwa kisheria, siyo maoni ya wanajimbo. Hakuna mahakama inayoweza kumtia mtu hatiani kwa tuhuma za wizi wa kimahesabu/kifedha bila report ya auditor. Hujajua hatua za utawala bora, rule of law. Nenda shule dogo
 
- Siwezi kutetea Waziri mwizi hata siku moja au kiongozi yoyote mwizi, lakini ni lazima kuwepo na legal facts kwa mbunge wa jamhuri kufikia kumuita waziri mwizi, kwa sababu sasa unaichokonoa Serikali, CAG imetoa hesabu, kama ilivyokuwa kule Ubalozi wa Italy, walitoa mahesabu ikawa kazi ya DPP kutengeneza LEGAL FACTS, kesi ikaenda kwenye sheria!

- Unajua sometimes unaweza ukawa emotional na ukaishia kuharibu kila kitu, kama kuna mawaziri wezi na facts zipo, dawa ni kulilia kesi mahakamani kwanza, ama sivyo unawapa nafasi ya kujiuzulu tu na basi, ni utamaduni mbaya sana!

William.

kwa maneno mengine unataka kile kifungu chas sheria kinachoruhusu bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu kitolewe. Daima auditors hufanya kazi zao kwa kukagua documents halisi za sehemu husika ili baadae waweze kutoa hitimisho juu ya kile walichokiona. Kwa hiyo, wanaposema watu fulani wamelipwa mishahara hewa maana yake kuna documents za kuhalalisha hilo hitimisho. Ndugu William, ukweli ni kwamba uko pamoja na kina Kigwangala full stop. Kwako chama kwanza na Watanzania baadae. Kweli nchi tunahitaji mabadiliko makubwa na kifikra na kimfumo ili tuweze kupiga hatua mbele.
 
Ulikosea toka mwanzo, hili swali lilikuwa na mitego mingi kwako................Hivyo kama mwanasiasa/mbunge mtarajiwa

unatakiwa kuwa makini sana na vitu vya namana hii, kuanzia sasa hata huko mbeleni..

Bahati yako ni kwamba hawa wanaokuhoji sio wapiga kukura wako watarajiwa la sivyo wangekutilia shaka mapema na

wasingekubali kuja kuongozwa na mtu ambaye anaonekana mba,mba,isha,ji!

Ungeweza kukaa kimya, au ngetafuta jibo lolote ambalo halikaribishi maswali na mashaka kwa watu....

Anagalia, usipokuwa makini utausikia tu ubunge hadi una zeeka!
Ndege mjanja hunaswa katika tundu bovu, hapa mtu unatakiwa kupima kwa makini katika kujibu hoja hasa kama jambo linakuhusu binafsi na kabisa kwa mtu ambaye anafahamika kama yeye, yeye anajibu kama yupo kijiweni, haya haya yatamwaribia sifa ya uwakilishi.
 
report ya cag ndiyo inayotambuliwa kisheria, siyo maoni ya wanajimbo. Hakuna mahakama inayoweza kumtia mtu hatiani kwa tuhuma za wizi wa kimahesabu/kifedha bila report ya auditor. Hujajua hatua za utawala bora, rule of law. Nenda shule dogo

- Well, nipo Uwanjani sasa saafi sana, ok unasema The Respect for The rule of Law! kama ni kweli kuijua sio kudai mawaziri wajiuzulu, hapana kuijua ni kudai mawaziri wafikishwe kwenye Sheria, HOWEVER huwezi kupiga hatua nzito kama ya kuomba kura za maoni ya Serikali bila ridhaa ya wananchi wa jimbo lako, simply unheard before!

- Ripoti ya CAG sio Prosecution Charge under the Law of Our Land, hapana wale CAG wana ripoti tu ya mahesabu, unahitaji na mkono wa Sheria kuwabaini mawaziri na wizi, ama sivyo tutaendelea kuwapa mwaya wa kujiuzulu na kutukejeli kwa pembeni kwamba nilijizuulu kwa sababu ya kuheshimu chama lakini hakuna ushahidi wa kisheria niliokamatwa nao, hivi nilidhani sasa wananchi tutakwua tumechoshwa na hizi nyimbo za kila wakati, kumbe wapi!

- SIWEZI KUSAINI KARATASI YA KUTOA MWANYA WA MAWAZIRI KUJIUZULU TU, LAZIMA IWE KARATASI INAYOSEMA WAENDE KWENYE SHERIA KWANZA!

William.
 
- Kwanza ningedai FACTS, so far sijaziona zote na very clear of what happened and what did not happen, with FACTS at hand kwanza ningerudi jimboni kwangu kuwafahamisha wananchi FACTS za kilichotokea na kuwauliza nini msimamo wao kwanza, maana ni wao ndio ninaowawakilisha kule Bungeni!

- Unajua unapomtuhumu Waziri wizi ni lazima kuwepo na Legal Facts, kwa sababu muhimu hapo ni historia ya mbele ya safari, unajenga utamaduni wa kujali sheria, kwa hiyo unatakiwa umakini sana kwenye conclusion kwamba kweli ni wezi, siamini kuwa kama FACTS zipo clear, kuna kiongozi yoyote bungeni angeshindwa kusaini!

William.

blaza acha haya mambo ya kujibu kirahisi. Fact gani zaidi ya hizo ungezitaka? CAG office ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, Bunge the same. Ulitaka legal fact ipi?
 
kwa maneno mengine unataka kile kifungu chas sheria kinachoruhusu bunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu kitolewe. Daima auditors hufanya kazi zao kwa kukagua documents halisi za sehemu husika ili baadae waweze kutoa hitimisho juu ya kile walichokiona. Kwa hiyo, wanaposema watu fulani wamelipwa mishahara hewa maana yake kuna documents za kuhalalisha hilo hitimisho. Ndugu William, ukweli ni kwamba uko pamoja na kina Kigwangala full stop. Kwako chama kwanza na Watanzania baadae. Kweli nchi tunahitaji mabadiliko makubwa na kifikra na kimfumo ili tuweze kupiga hatua mbele.

- Dr. Hamis is my very close Friend, na naomba kusema kwamba nina heshima naye sana kwa sababu ninajua msimamo wake siku zote, ingawa honestly sikubaliani na msimamo wake kuhusu kutosaini ile karatasi ya Zitto, lakini bado ninamuheshimu sana na misimamo yake mingi huwa iko reasonable sana na wakati tulionao.

- Kama Waziri Mkuu anapigiwa kura ya kukosa imani isiwe under expense ya mawaziri kuishia kujiuzulu huku wakiwa na tuhuma za wizi, that I have a big problem, haya mambo yasichanganywe Siasa iwe na time yake na Sheria iwe kwanza!

- Document ya CAG bila kuonyesha intent ya wizi kwa mawaziri wanaotuhumiwa, bado ni less of Criminal Charges ndio maana huwa nina tatizo sana mtizamo wetu wananchi kuhusu masuala haya, kwa sababu nilidhani tunatakiwa kulilia Sheria kwanza sio kujiuzulu tu, haitoshi!

William.
 
- FACTS za CAG ni za kimahesabu zaidi, muhimu ni Legal Facts katika CAG report, bado sijaziona in full!

William.

mtani wangu pamoja na kutembea kote kumbe bado sana. Unajibu kama umekariri vile. Unanikumbusha baadhi ya ma Miss tz wanavyochemka na maswali kwa kukariri majibu na kuyasahau. Agwe hufai uongozi hata wa kijiji. Usinuka kweli wewe.
 
blaza acha haya mambo ya kujibu kirahisi. Fact gani zaidi ya hizo ungezitaka? CAG office ipo kwa mujibu wa katiba ya nchi, Bunge the same. Ulitaka legal fact ipi?

- LEGAL FACTS za wizi haizwezi kuwa established na CAG, hapana hapo tunaongelea intent huwa kisheria inakuwa established na Prosecutors ambao ndio wenye discretion ya kuamua popote penye kesi na pasipokuwa, bila kujadiliana wala ku-negotiate na anybody, kwenye hii ishu ya hawa mawaziri bado sijaiona hiyo ya legal facts ya ku-charge kwenye Sheria na wizi, sawa politically wana tatizo lakini mimi ningependa kuona inaishia kwenye Sheria kwanza!

William.
 
mtani wangu pamoja na kutembea kote kumbe bado sana. Unajibu kama umekariri vile. Unanikumbusha baadhi ya ma Miss tz wanavyochemka na maswali kwa kukariri majibu na kuyasahau. Agwe hufai uongozi hata wa kijiji. Usinuka kweli wewe.

- CAG haiwezi kusema mawaziri wameiba, itasema kuna hela hazionekani au hazina FACTS za jinsi zilivyotumika, ni kazi ya kamati ya Sheria au Prosecutors kusema wameiba kwa FACTS one, two, and three!

- Kama kwa kuwa na msimamo huu ninakuwa bado sana so let it be! ha! ha! ha!, lakini one thing is siwezi kushangilia mawaziri kujizuulu for sure nisingesaini ile karatasi kama isingekuwa na kipengele cha Sheria kwamba lazima waishie kwenye mahakama!

William.
 
Mkuu bao ngapi kwa ngapi hapo??

Achana na huu mjadala unazidi kujichanganya, watu walitaka jibu moja ila umezunguka sana..

Wewe cheki soka tu hapo, usisahau kutu update magoli!!
 
Willy, usituangushe mkuu! CAG aliweka facts wazi ktk ripoti zake, namna wizi ulivyotokea na wahusika ktk wizi huo. Ukisema unataka 'facts' zaidi, kutoka chanzo gn cha kuaminika zaidi ya serikali? (CAG).

Ninachoona hapo huyo jamaa hana true statement yaani hajui angefanya nini.
 
Wewe kama unavyosema mwenyewe umetembea sana. Naomba nitolee mifano, kutoka nchi yeyote ile, ya wanasiasa ambayo walikamatwa na moja kwa moja kufikishwa mahakamani kabla ya kujiuzuru kwanza. mimi nimekutolea mifano lukuki ya wanasiasa waliojiuzuru lakini hawakufikishwa mahakamani.
 
- Well, nipo Uwanjani sasa saafi sana, ok unasema The Respect for The rule of Law! kama ni kweli kuijua sio kudai mawaziri wajiuzulu, hapana kuijua ni kudai mawaziri wafikishwe kwenye Sheria, HOWEVER huwezi kupiga hatua nzito kama ya kuomba kura za maoni ya Serikali bila ridhaa ya wananchi wa jimbo lako, simply unheard before!

- Ripoti ya CAG sio Prosecution Charge under the Law of Our Land, hapana wale CAG wana ripoti tu ya mahesabu, unahitaji na mkono wa Sheria kuwabaini mawaziri na wizi, ama sivyo tutaendelea kuwapa mwaya wa kujiuzulu na kutukejeli kwa pembeni kwamba nilijizuulu kwa sababu ya kuheshimu chama lakini hakuna ushahidi wa kisheria niliokamatwa nao, hivi nilidhani sasa wananchi tutakwua tumechoshwa na hizi nyimbo za kila wakati, kumbe wapi!

- SIWEZI KUSAINI KARATASI YA KUTOA MWANYA WA MAWAZIRI KUJIUZULU TU, LAZIMA IWE KARATASI INAYOSEMA WAENDE KWENYE SHERIA KWANZA!

William.
William,
Hapa Canada wabunge au chama huomba kutokuwa na imani na Premier au PM hata bila ridhaa ya wananchi na uchaguzi mpya hufanyika. Ombi hadi kura zinapigwa bungeni tu hivyo useme is unheard of - sema hujui..
 
W.J. Malecela na Wana JF,
Mimi naona Ndugu Malecela anakimbia kivuli chake tu hapa, maswali kwake yalikuwa rahisi ila yeye kakimbilia hoja ya Legal Facts, nikukumbushe maswali, ungekuwa wewe ungekuwa upande upi kwa issue hizo zilizotajwa za Mawaziri wabadhilifu wa mali ya Umma ??? na issue ya kutokuwa na Imani na WM, ungesaini Form ya Zitto au la ??? Hapa umekimbia majibu. Tukija hoja unayotetea ya Legal Facts umetupa Mfano mzuri wa Jengo Italy kuwa CAG kafanya mahesabu ikawa kazi ya DDP, sasa hauoni kuwa kama mtiririko ni huo tayari CAG kafanya mahesabu kwa ubadhilifu wa Mawaziri kwenye wizara, sasa kinachohitajika tu ni kazi ya DDP ???? Come on Jamani, msifanye Ukimya wa Watanzania ndio Umbumbumbu wetu.
Nawakilisha

- Siwezi kutetea Waziri mwizi hata siku moja au kiongozi yoyote mwizi, lakini ni lazima kuwepo na legal facts kwa mbunge wa jamhuri kufikia kumuita waziri mwizi, kwa sababu sasa unaichokonoa Serikali, CAG imetoa hesabu, kama ilivyokuwa kule Ubalozi wa Italy, walitoa mahesabu ikawa kazi ya DPP kutengeneza LEGAL FACTS, kesi ikaenda kwenye sheria!

- Unajua sometimes unaweza ukawa emotional na ukaishia kuharibu kila kitu, kama kuna mawaziri wezi na facts zipo, dawa ni kulilia kesi mahakamani kwanza, ama sivyo unawapa nafasi ya kujiuzulu tu na basi, ni utamaduni mbaya sana!

William.
 
- CAG haiwezi kusema mawaziri wameiba, itasema kuna hela hazionekani au hazina FACTS za jinsi zilivyotumika, ni kazi ya kamati ya Sheria au Prosecutors kusema wameiba kwa FACTS one, two, and three!

- Kama kwa kuwa na msimamo huu ninakuwa bado sana so let it be! ha! ha! ha!, lakini one thing is siwezi kushangilia mawaziri kujizuulu for sure nisingesaini ile karatasi kama isingekuwa na kipengele cha Sheria kwamba lazima waishie kwenye mahakama!

William.

We jamaa nilikuona bonge la smart man kukaa marekani miaka 23, kumbe bado hamna kitu...

Jinsi unavyozidi kuongea, unaongea pumba tu. Bora unyamaze ndugu yangu
 
Ninachoona hapo huyo jamaa hana true statement yaani hajui angefanya nini.

- Kama CAG wanaweza kusema mawaziri wameiba basi tuna tatizo kubwa sana hili taifa, kwa sababu sio kazi ya CAG kuamua kuhusu wizi, ni kazi ya Sheria kunzia kamati ya bunge, mpaka Prosecutors!

- Tena kwa ishu kama hii kamati ya bunge ilitakiwa kuwa imeshaweka Special Prosecutor, siku nyingi sana pale tu CAG ilipoona kuna utata wa mahesabu kwenye hizo wiara kwenye Demokrasia kama yetu ni muhimu sana ukaheshimu Division of Labour ama sivyo utaishia kuchanganya sana ishus!

- CAG hawahusiki na kuamua nani mwizi na nani sio, ni kazi ya Sheria mkuu sana!

William.
 
Kaka kubali kuwa chama kwanza then watanzania baadae, ila mimi naamini ndani ya hii mbingu tunayoishi hakika hutakuwa longish wa serikaki hata siku moja, akili yako ni ndogo sana ya kuchambua mambo! Hata hivo mm nachukia sana satire wa vigogo so sikupendi in short, ushindwe na ulegee usije ukaturudisha tulipotoka na akili zako hizo za kutohoa

Back
Top Bottom