W J Malecela kwa hili la wizi na kutokuwajibika kwa mawaziri ungekuwa upande gani?

- CAG ni wakaguzi wa mhesabu sio wanasheria, ni simply Common Sense wala huhitaji PhD kuelewa hilo!, Crime huwa inakuwa established na DPP! au hata kamati ya Sheria ya bunge, lakini sio CAG!

William.

Hivyo wewe haukubaliani na ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikari kwa kuwa yeye síyo mwanasheria?
 
Copy and paste ya US si sawa kwa vile kila nchi ina taratibu na sheria zake ingawa mara nyingi tunachukua reference ya sheria za nchi fulani kwa ajili ya kujenga misingi ya sheria zetu.
Wakati wa uchaguzi Marekani mhimili wa mahakama huenda sambamba na tume ya uchaguzi. Kwa utaratibu huu kila kinachoendelea katika shughuli za uchaguzi chombo kinachotoa tafsiri na uamuzi wa sheria husaidia kuweka mambo sawa katika chaguzi zao. Ndio maana vigumu na mara chache kulalamikiwa ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kampeni na uchaguzi kwa vile vyombo hivyo hufanya kazi kwa uwazi na kusimamiwa na mhimili wa mahakama hadi shughuli inakamilika.

Utaratibu huo Ndugu Malecela kwetu bado, kwani wako jambo hilo lipo kikatiba pamoja na amendments za katiba yao. Hao wamefikia hapa baada ya karne tatu na sasa wanaingia karne ya nne tangu wapate uhuru kutoka kwa Mwingereza. Si jambo la kipa umbele kuchukulia mifano ya mataifa yaliyoendelea kidemokrasia kulinganisha na mataifa machanga ambayo ndio yanaiga na kujifunza mfumo huo kutoka mfumo uliozoeleka wa kichifu wa kurithishana viti vya utawala kama ufalme vile kama Bingu Mutalika wa Malawi alivyomwandaa ndugu yake Mutalika kurithi kiti chake ambaye Juzi au jana alimetimuliwa na yule Presida mpya wa kike.

Hata huko Marekani wanasiasa wanjiuzuru bila kushtakiwa. mambo ya siasa na sheria siyo lazima yaende pamoja. Ila kama wakioona kosa ulilofanya wanaweza kukushtaki mahakamani basi wanafanya hivyo. Hiyo ipo duniani nzima pamoja na 90% alizotembelea Bw. Malecela. Ni Tanzania tu ndiko ambako hutasumbuliwa na sheria wala lolote.

Tazama huyu Governor wa USA alyejiuzuru, lakini hakushtakiwa:

James Edward "Jim" McGreevey
James Edward "Jim" McGreevey (born August 6, 1957) is an American Democratic politician. He served as the 52nd Governor of New Jersey from January 15, 2002, until he resigned from office at 11:59 pm on November 15, 2004. His term was set to expire on January 17, 2006. On the afternoon of August 12, 2004, McGreevey coupled the announcement of his decision to resign with a public declaration of his homosexuality and an admission to having had an extramarital affair with a man, Golan Cipel, an Israeli citizen and veteran of the Israeli Defense Forces, whom McGreevey appointed New Jersey homeland security adviser. Cipel, who had joined the Israeli Ministry of Foreign Affairs in 1994 as Chief Information Officer at the Consulate General of Israel in New York, subsequently left the United States and returned to Israel after their alleged affair was revealed. McGreevey was the first and, to date, the only openly gay state governor in United States history.[1]
 
Willy unazidi kujivunjia heshima mbele ya Jamii ya Watanganyika, ni bora ungekaa huko huko @New York kuliko kudhurura na Nape, Nape ameshakuharibu sasa, na ukikaa mda mrefu hata Tanganyika tutegeme Ufisadi kutoka kwako ni bora urudi mkuu. I feel sorry for you mkuu
 
Hivi jamani huyu ni Malicela aliishi USA? Kwa mtazamo wangu hoja zake zote ni baseless na sidhani km ana uelewa wa kimataifa na sheria kwa ujumla. Km atakuwa kiongozi ktk nchi hii ni walewale km Wakina Dr. Kigwangala ambaye anafikiri ni chama ndicho kimempa ubunge na siyo sisi wapiga kura wake.
 
mkuu wananchi wamekuamini wamekutuma uwawakilishe bungeni wewe unarudi tena kuwauliza maamuzi ya kuchukua inaonyesha jinsi gani ulivyomwoga kuchukua uamuzi mgumu....kama kiongozi jasiri chukua uamuzi kisha rudi kwa wananchi ukajenge hoja kwa nini umeamua vile..inamaana unataka kusema wabunge waliosaini bila kwenda majimboni hawajawatendea haki wapiga kura wao.???

Nashukuru kwa kumjibu hivyo, wananchi huwa na mwakilishi wao, na ndio maana kama ifuatayo hapo chini maswali ya wananchi na debate ni kwa ajili ya kupima uwezo wa mtu atakayewawakilisha uwezo wake na kiwango cha ufahamu katika masuala yao atakapowawakilisha upoje. Ina maana anapopewa mswada au jambo la kujadiliwa bungeni arudi kwa wananchi kuzunguka jimbo zima kuitisha mikutano ya kupata maoni ya wananchi?

Bahati nzuri tekinolojia ya ulimwengu wa leo wa kuifanya dunia ni global village umerahisisha mengi kwani wabunge wanapojadili wananchi wanaona na kusikia, ingwa si wengi lakini kwa wachache ni jitihada za kutosha katika nchi za pembezoni kama Tanzania. Wabunge wengi hutumiwa jumbe mbalimbali hata wawapo vikaoni kutoka kwa wapiga kura wao. Iweje Malechela leo ajenge hoja ya kurudi vijijini Mtera kuitisha mikutano ya wanakijiji kupata maoni yao wakati kikao cha bunge kinaendelea bungeni Dodoma? William Malecela haya unayoandika hapa kesho yanaweza kukutoa jasho utakapogombea Mtera maana watu wananafasi ya kuyafunua kutoka data base na utashangaa.

quote_icon.png
By Candid Scope

  1. Malecela, unaelewa kwa nini kipindi cha kampeni za uchaguzi licha ya wagombea kujieleza, wapiga kura hupata nafasi ya kuwauliza maswali?
  2. Utaratibu wa debate ya wagombea kwa pamoja una maana gani ya kumwandaa mgombea katika nafasi anayotaka ridhaa kwa wananchi?
  3. Waziri Mkuu anapoulizwa maswali ya papo kwa papo bungeni hupata wapi nafasi ya kwenda kuwauliza waofisa wa serikalini au wananchi ili kupata majibu ya kuwajibu wabunge?
 
Nadhani kwa mwamko huu, uchaguzi ujao watanzania tutachagua wawakilishi wa wananchi siyo wawakilishi wa vyama vyao, watu hawakunote hii, sasa it is becoming an issue, hata maswali kwa wabunge watarajiwa yatakuwa kwa mtiririko huo
 
Hata huko Marekani wanasiasa wanjiuzuru bila kushtakiwa. mambo ya siasa na sheria siyo lazima yaende pamoja. Ila kama wakioona kosa ulilofanya wanaweza kukushtaki mahakamani basi wanafanya hivyo. Hiyo ipo duniani nzima pamoja na 90% alizotembelea Bw. Malecela. Ni Tanzania tu ndiko ambako hutasumbuliwa na sheria wala lolote.

Tazama huyu Governor wa USA alyejiuzuru, lakini hakushtakiwa:

James Edward "Jim" McGreevey
James Edward "Jim" McGreevey (born August 6, 1957) is an American Democratic politician. He served as the 52ndGovernor of New Jersey from January 15, 2002, until he resigned from office at 11:59 pm on November 15, 2004. His term was set to expire on January 17, 2006. On the afternoon of August 12, 2004, McGreevey coupled the announcement of his decision to resign with a public declaration of his homosexuality and an admission to having had an extramarital affair with a man, Golan Cipel, an Israeli citizen and veteran of the Israeli Defense Forces, whom McGreevey appointed New Jersey homeland security adviser. Cipel, who had joined the Israeli Ministry of Foreign Affairs in 1994 as Chief Information Officer at the Consulate General of Israel in New York, subsequently left the United States and returned to Israel after their alleged affair was revealed. McGreevey was the first and, to date, the only openly gay state governor in United States history.[1]

- Kuwa shoga sio kuvunja sheria mkuu!

William.
 
Salute bro.... pamojaH sana. Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba kama kweli unalitakia mema taifa hili na una nia ya dhati ya kushika nyadhifa nyeti.... basi jaribu kuangalia nini hasa kinaendelea hapa nyumbani for you to have a buy in . Wanachi na hasa vijana hatuitaji majibu mepesi kama yako!!! (Legal facts??). Watu wamefunguka na wanazidi kufunguka... kama unakumbuka hata mkuu wa nchi anakubaliana na ushaidi wa kimazingira (i.e. circumstantial evidence) na ndio maana Mh. Edward Lowassa alijiuzuru? Je waweza kuniambia ni ushaidi gani? legal facts ambazo zilimfanya Lowasa ? Au Jairo kujiuzulu?

Salute Bro @ Dodoma Mvumi Makulu.
 
Nakumbuka hii historia ya Gavana huyu ambaye kabla yake alikuwa meya wa Bridge water au Water Bridge, kwani miji hiyo inapakana na mara nyingi inanichangaya upi ni upi, na huyu alijiuzuru kwa kashfa ya usagaji, aka mahusiano ya mwanaume kwa mwanaume mwenzi waki wakiwa Mwanaume Myahudi akamlipua walipokosana kitu, wakati ana mke. Kwetu wangesema ni jambo la mtu binafsi lakini kwa wenzetu ni kashfa nzito.

Unakumbuka kuna congress man mmoja hivi karibuni alijiuzuru sababu ya kashfa ya kutumiana jumbe za mapenzi kwenye mtandao na mwanafunzi wa kike?

Yote hayo hakukuwa na mashtaka mahakamani, bali kutajwa tu ni kashfani na wakapaswa kujiuzuru.

Sasa Legal Facts za Bwana William J. Malecela anazosema katebelea 90% nchi za ulimwengu na papo hapo kaishi muda mrefu zaidi kule kando ya Empire State Building na kushuhudia yote hayo anakuja na uteteji dhaifu kiasi hicho wakati alikuwa Candidate wa kuwa mbunge Jumaiya ya East Africa.
 
Salute bro.... pamojaH sana. Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba kama kweli unalitakia mema taifa hili na una nia ya dhati ya kushika nyadhifa nyeti.... basi jaribu kuangalia nini hasa kinaendelea hapa nyumbani for you to have a buy in . Wanachi na hasa vijana hatuitaji majibu mepesi kama yako!!! (Legal facts??). Watu wamefunguka na wanazidi kufunguka... kama unakumbuka hata mkuu wa nchi anakubaliana na ushaidi wa kimazingira (i.e. circumstantial evidence) na ndio maana Mh. Edward Lowassa alijiuzuru? Je waweza kuniambia ni ushaidi gani? legal facts ambazo zilimfanya Lowasa ? Au Jairo kujiuzulu?

Salute Bro @ Dodoma Mvumi Makulu.

- Hapana, Sheria kwanza kubali tu kwamba tunahitaji Sheria ya kuiunganisha CAG na Sheria, otherwise utaishia kuwa na mawaziri wezi wanaoishia kujiuzulu, nilidhani hao vijana wangependa kuona Sheria kwanza, kumbe wanataka kuona kujiuzulu kwanza, I mean that is wasap!

Hapo sikuelewi kabisa. Unataka kusema CAG awe ni prosecutor? CAG amewekwa kisheria na kazi yake inaeleweka. Kama CAG akisema kuna pesa zimeibiwa basi ni kazi na prosecutor to take over. Hiyo ni kwa mauditor wote. Kwani wale mauditor waliogundua wizi wa pesa za EPA waliunganishwa na Sheria? Kivipi?
 
- HA! ha! ha! hii inaitwa over reaching, na uncalled for kama ni wizi ni lazima niwe na hiyo tabia toka nilipokuwa mtoto, wizi sio tabia yangu ninafanya kazi kule US nilikuwa ninafanya kazi masaa 18 kwa siku kwa miaka mingi sana, na pia nilikuwa ninajisomesha at the same time, so uwe na amani kabisa kwamba wizi sio tabia yangu hata siku moja!

William.
Weeeeeh !! Kwanza tuambie ume-save nini ?
 
Legal facts ni legal information ambayo wanasheria wana-base arguments zao ili kushinda kesi mahakamani. Ushahidi unaotolewa mahakamani ndio unatumiwa kudhibitisha legal facts. Kwa hiyo ushahidi ndio element kubwa ya kumshawishi jaji kwamba legal facts zako ni za ukweli.

Sasa hapa ushahidi ni ripoti ya CAG labda na ripoti za Kamati za bunge. Hata kama wahusika wakishtakiwa, DPP atatumia ripoti za CAG na vielelezo vyote kama ushahidi kudhibitisha mahahamani kuwa wahusika walifanya huo ubaridhifu. I am sure CAG reports ni summary tuu na vielelezo vya aliyoeleza atakuwa navyo.

Kwa hiyo, kuweni makini mnapotumia neno “legal facts”. Hata kwenye sheria hawatumii neno “legal facts”. Wanatumia “legal arguments”. Kwa mfano, the words "insane" and "insanity" are not recognized medical facts but rather legal facts. Pia kuna toufauti kubwa kati ya “legal facts” na “material facts” Mwanafunzi wa sheria ana spend karibu mwaka mzima akijifunza maana ya “material facts”.

In Hong Kong, a betrayed wife is legally allowed to kill her adulterous husband, but may only do so with her bare hands. Hiyo ndio “legal fact”. Kinachotakiwa hapo sasa ni kudhibitisha hiyo “legal fact” kwa ushahidi kuwa kweli huyo mke alisalitiwa na mume wake na alimwua huyo mume wake with her bare hands.

The legal fact is that ukiendesha gari bila kuwa na leseni ni traffic offence. Kinachohitajika hapo ni ushahidi tuu kudhibitisha hiyo legal fact kuwa mhusika alikuwa anaendesha bila leseni. Pia the legal fact is that ubaridhifu wa fedha za umma ni kosa la jinai.

Kwa hiyo, William anaposema kuwa mpaka apate legal facts ana maana kuwa ni mpaka ajue kwanza kama ubaridhifu wa fedha za umma ni kosa la jinai. Kwa sasa hajui. Akishajua atatupa jibu.
 
- Hapana kwangu the ishu ni sheria, kama mawaziri ni wezi kuwepo na njia ya moja kwa moja ya kuwafikisha kwenye Sheria bila ku-negotiate nao kama tunavyofanya sasa, sio modern politics hizo mkuu wangu! Nchi zote zilizoendelea Duniani hao mawaziri sasa hivi wangekwua kwenye sheria sio kwenye makelele ya siasa!

William.

Nadhani mtoa thread anauliza based on hali ya sasa kikatiba tuliyonayo, amabpo hayo ya kupelekana mahakamani moja kwa moja hayajawa wazi,, Je ungefanyaje Bungeni juzi ile? But kwa majibu ambayo tayari umeyatoa inaonyesha ungekaa kimya sana na kujificha kama alivofanya Maji marefu "Prof"
 
Hapo sikuelewi kabisa. Unataka kusema CAG awe ni prosecutor? CAG amewekwa kisheria na kazi yake inaeleweka. Kama CAG akisema kuna pesa zimeibiwa basi ni kazi na prosecutor to take over. Hiyo ni kwa mauditor wote. Kwani wale mauditor waliogundua wizi wa pesa za EPA waliunganishwa na Sheria? Kivipi?

- Kaka nchi zote zilizoendelea Duniani, CAG ilitakiwa iwe connected na Sheria, incase imegundua wizi basi Sheria inachukua mkondo wake kwa baraka za kamati ya bunge kwanza, hakuna sababu ya kumsubiri Rais, wala kokus ya CCM, au kusaini saini 72, hapana saa hizi tungekuwa tunajadili mawaziri wakiwa Rumande!

- Gavana wa Ilinois alipotaka rushwa kutoa kiti cha Obama, FBI walifahamishwa mara moja na kamati ya Sheria ya State Assembly wakaanza kumrekodi mpaka kufikishwa kwenye Sheria, CAG ilipogundua wizi ilitakiwa mara moja kuiarifu kama ti ya bunge ambayo nayo haraka sana ingetoa kibali cha DPP kuingia kwenye uchunguzi, by now tungekuwa tunaongea Sheria tu, sio kugombea saini wala kusubiri kamati kuu!

William.
 
Ndiye huyo alikuwa anautaka ubunge wa Afrika Mashariki......waliokupiga chini nafikiri walikuwa na sababu. Mwakyembe hakukosea alichokisema juu ya hawa waliokuwa wagombea akiwemo W.J.M
 
Nadhani mtoa thread anauliza based on hali ya sasa kikatiba tuliyonayo, amabpo hayo ya kupelekana mahakamani moja kwa moja hayajawa wazi,, Je ungefanyaje Bungeni juzi ile? But kwa majibu ambayo tayari umeyatoa inaonyesha ungekaa kimya sana na kujificha kama alivofanya Maji marefu "Prof"

- Again siamini kwamba karatasi ya Zitto ni msahafu kwamba usingeweza kubadilishwa japo kidogo, ninasema ilitakiwa kuwepo na kipengele kinachodai mawaziri watuhumiwa wafikishwe kwenye Sheria, bila hivyo nisingesaini, I mean waliosaini wote wanawapa mwanya mawaziri kujiuzulu hilo nina tatizo nalo sana!

William.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom