peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
- CAG ni wakaguzi wa mhesabu sio wanasheria, ni simply Common Sense wala huhitaji PhD kuelewa hilo!, Crime huwa inakuwa established na DPP! au hata kamati ya Sheria ya bunge, lakini sio CAG!
William.
Copy and paste ya US si sawa kwa vile kila nchi ina taratibu na sheria zake ingawa mara nyingi tunachukua reference ya sheria za nchi fulani kwa ajili ya kujenga misingi ya sheria zetu.
Wakati wa uchaguzi Marekani mhimili wa mahakama huenda sambamba na tume ya uchaguzi. Kwa utaratibu huu kila kinachoendelea katika shughuli za uchaguzi chombo kinachotoa tafsiri na uamuzi wa sheria husaidia kuweka mambo sawa katika chaguzi zao. Ndio maana vigumu na mara chache kulalamikiwa ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kampeni na uchaguzi kwa vile vyombo hivyo hufanya kazi kwa uwazi na kusimamiwa na mhimili wa mahakama hadi shughuli inakamilika.
Utaratibu huo Ndugu Malecela kwetu bado, kwani wako jambo hilo lipo kikatiba pamoja na amendments za katiba yao. Hao wamefikia hapa baada ya karne tatu na sasa wanaingia karne ya nne tangu wapate uhuru kutoka kwa Mwingereza. Si jambo la kipa umbele kuchukulia mifano ya mataifa yaliyoendelea kidemokrasia kulinganisha na mataifa machanga ambayo ndio yanaiga na kujifunza mfumo huo kutoka mfumo uliozoeleka wa kichifu wa kurithishana viti vya utawala kama ufalme vile kama Bingu Mutalika wa Malawi alivyomwandaa ndugu yake Mutalika kurithi kiti chake ambaye Juzi au jana alimetimuliwa na yule Presida mpya wa kike.
We unasumbuwa Mahakama tuu ! Yaani ulitaka CAG aje na 'charge sheet' ndio uamini pesa zimekwibwa ?- FACTS za CAG ni za kimahesabu zaidi, muhimu ni Legal Facts katika CAG report, bado sijaziona in full!
William.
mkuu wananchi wamekuamini wamekutuma uwawakilishe bungeni wewe unarudi tena kuwauliza maamuzi ya kuchukua inaonyesha jinsi gani ulivyomwoga kuchukua uamuzi mgumu....kama kiongozi jasiri chukua uamuzi kisha rudi kwa wananchi ukajenge hoja kwa nini umeamua vile..inamaana unataka kusema wabunge waliosaini bila kwenda majimboni hawajawatendea haki wapiga kura wao.???
By Candid Scope
- Malecela, unaelewa kwa nini kipindi cha kampeni za uchaguzi licha ya wagombea kujieleza, wapiga kura hupata nafasi ya kuwauliza maswali?
- Utaratibu wa debate ya wagombea kwa pamoja una maana gani ya kumwandaa mgombea katika nafasi anayotaka ridhaa kwa wananchi?
- Waziri Mkuu anapoulizwa maswali ya papo kwa papo bungeni hupata wapi nafasi ya kwenda kuwauliza waofisa wa serikalini au wananchi ili kupata majibu ya kuwajibu wabunge?
Hata huko Marekani wanasiasa wanjiuzuru bila kushtakiwa. mambo ya siasa na sheria siyo lazima yaende pamoja. Ila kama wakioona kosa ulilofanya wanaweza kukushtaki mahakamani basi wanafanya hivyo. Hiyo ipo duniani nzima pamoja na 90% alizotembelea Bw. Malecela. Ni Tanzania tu ndiko ambako hutasumbuliwa na sheria wala lolote.
Tazama huyu Governor wa USA alyejiuzuru, lakini hakushtakiwa:
James Edward "Jim" McGreevey
James Edward "Jim" McGreevey (born August 6, 1957) is an American Democratic politician. He served as the 52ndGovernor of New Jersey from January 15, 2002, until he resigned from office at 11:59 pm on November 15, 2004. His term was set to expire on January 17, 2006. On the afternoon of August 12, 2004, McGreevey coupled the announcement of his decision to resign with a public declaration of his homosexuality and an admission to having had an extramarital affair with a man, Golan Cipel, an Israeli citizen and veteran of the Israeli Defense Forces, whom McGreevey appointed New Jersey homeland security adviser. Cipel, who had joined the Israeli Ministry of Foreign Affairs in 1994 as Chief Information Officer at the Consulate General of Israel in New York, subsequently left the United States and returned to Israel after their alleged affair was revealed. McGreevey was the first and, to date, the only openly gay state governor in United States history.[1]

- Kuwa shoga sio kuvunja sheria mkuu!
William.
Salute bro.... pamojaH sana. Ushauri wangu wa bure kwako ni kwamba kama kweli unalitakia mema taifa hili na una nia ya dhati ya kushika nyadhifa nyeti.... basi jaribu kuangalia nini hasa kinaendelea hapa nyumbani for you to have a buy in . Wanachi na hasa vijana hatuitaji majibu mepesi kama yako!!! (Legal facts??). Watu wamefunguka na wanazidi kufunguka... kama unakumbuka hata mkuu wa nchi anakubaliana na ushaidi wa kimazingira (i.e. circumstantial evidence) na ndio maana Mh. Edward Lowassa alijiuzuru? Je waweza kuniambia ni ushaidi gani? legal facts ambazo zilimfanya Lowasa ? Au Jairo kujiuzulu?
Salute Bro @ Dodoma Mvumi Makulu.
- Hapana, Sheria kwanza kubali tu kwamba tunahitaji Sheria ya kuiunganisha CAG na Sheria, otherwise utaishia kuwa na mawaziri wezi wanaoishia kujiuzulu, nilidhani hao vijana wangependa kuona Sheria kwanza, kumbe wanataka kuona kujiuzulu kwanza, I mean that is wasap!
William.
Weeeeeh !! Kwanza tuambie ume-save nini ?- HA! ha! ha! hii inaitwa over reaching, na uncalled for kama ni wizi ni lazima niwe na hiyo tabia toka nilipokuwa mtoto, wizi sio tabia yangu ninafanya kazi kule US nilikuwa ninafanya kazi masaa 18 kwa siku kwa miaka mingi sana, na pia nilikuwa ninajisomesha at the same time, so uwe na amani kabisa kwamba wizi sio tabia yangu hata siku moja!
William.
- Hapana kwangu the ishu ni sheria, kama mawaziri ni wezi kuwepo na njia ya moja kwa moja ya kuwafikisha kwenye Sheria bila ku-negotiate nao kama tunavyofanya sasa, sio modern politics hizo mkuu wangu! Nchi zote zilizoendelea Duniani hao mawaziri sasa hivi wangekwua kwenye sheria sio kwenye makelele ya siasa!
William.
Hapo sikuelewi kabisa. Unataka kusema CAG awe ni prosecutor? CAG amewekwa kisheria na kazi yake inaeleweka. Kama CAG akisema kuna pesa zimeibiwa basi ni kazi na prosecutor to take over. Hiyo ni kwa mauditor wote. Kwani wale mauditor waliogundua wizi wa pesa za EPA waliunganishwa na Sheria? Kivipi?
Nadhani mtoa thread anauliza based on hali ya sasa kikatiba tuliyonayo, amabpo hayo ya kupelekana mahakamani moja kwa moja hayajawa wazi,, Je ungefanyaje Bungeni juzi ile? But kwa majibu ambayo tayari umeyatoa inaonyesha ungekaa kimya sana na kujificha kama alivofanya Maji marefu "Prof"