TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
- CAG ni wakaguzi wa mhesabu sio wanasheria, ni simply Common Sense wala huhitaji PhD kuelewa hilo!, Crime huwa inakuwa established na DPP! au hata kamati ya Sheria ya bunge, lakini sio CAG!
William.
Dah! Aise kweli kukaa nje ya nchi unapoteza vingi. Kwa taarifa yako kwenye Ofisi ya CAG kuna wataalamu wa fani mbalimbali ili kuwezesha Kaguzi za kila aina. Nina best yangu kabisa yupo pale yeye ni Socialogist. Kuna Wanasheria wapo pale kwa ajili ya kufanya Audit of Contracts. Kuna Engeeneers wapo pale kwa ajili ya kufanya kaguzi za Value for Money katika Ujenzi wa Majengo, Barabara nk. Pia kuna Wahasibu uliowataja ambao kazi yao ni kuhakikisha sheria ya Fedha na kanuni zake zinafuatwa kwenye matumizi ya Serikali. Kuna Procurement Specialist wameajiriwa kwa ajili ya kuangalia kama Procurement Act and it's regulation inafuatwa.
Ni jambo la kusikitisha sana unaundermine uwezo wa Ofisi ya CAG. Anyway ni kutokujua! Lakini napenda nikwambie kwamba Auditing ya siku hizi siyo kama ya zamani ambayo ilikuwa Financial based audit. Siku hizi Audit ime-extend hadi kwenye Perfomance na Value for Value. Kwa hiyo huwezi kuacess vitu kama hivyo kwa kuwategemea Wakaguzi wa Hesabu tu. Pole sana!