Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
what matter ni jinsi gani unatumia hiyo degree iwe ya mezani ama ya kitabuni..wewe adm yakwako ya chuo gani?

Huwa nashangaa kila siku watu waliokuwa na 1st class au Div.1 lkn kwenye real life hawafanyi chochote cha tofauti na sisi wa Lower Second na Div 3 tena ya kuunga. Nimeona pia baadhi ya wale wanotoka vyuo visivyotoa vyeti kirahisi wakifanya poorly kwenye kazi kuliko wa hivi vyuo vinavyotoa vyeti kirahisi. Chuo kimoja kikongwe kwenye kozi moja ya Masters walichukua watu toka vyuo hivi hivi ulivyotaja hapo, ilipofika sasa kukata shule ya Masters wale waliopitia pale pale waliachwa mbali na wale tunaosema wametoka vyuo vya vyeti rahisi. Don't generalize my dear kila mtu anaenda na kichwa yake college, hatuwezi kufanana wote, hatuwezi kulingana wote hata kama si kusoma chuo kimoja, hata kama tumesoma kozi moja, darasa moja, group discussion moja, hostel moja, au hata kitanda kimoja.
 
kiukweli elimu ya sasa ipo katika janga,na hii sio chuo flani tu au kile,na kwavile chuo si majengo,bali ni wanafunzi pia...tujiulize wanafunzi hawa ni mzuri?je tujiulize hawa wanaopunguziwa marks kwenda form 5 si pia grade za kwenda vyuoni zitapunguzwa,,,wakat nipo law school of Tanzania pale mlimani,nilipatwa kufundishwa na wanasheria wa kimataifa toka wingereza,kweli tupo nyuma,,,na hata udsm nikiwa nasomea pale COET kwenye kuta na madawati nliona maandishi madogo madogo sana(cheating)bila shaka ni chabo,sasa hao ni udsm na ni injiniaringi.uzalendo umeisha.
 
Jamani unapotoa maoni yako hapa fikiria kwanza na uwe umefanya utafiti kidogo. usitoa maoni yako ambayo hayana tija.
 
Pamoja na hii thread kukaa ki-utani utani, lakini inaokena "Mzumbe University" inahitaji kujiangalia upya maana wachangiaji wengi wanaonyesha dhahiri "kuidharau"...!
 
vyuo vyote vina madhaifu yake,ila kila chuo kinaweza toa degree ya ukweli kwa individual kutegemeana na juhudi binafsi za mwanafunzi,hakuna cha UDSM wala Tumaini ama whatever, chuo ni mtu binafsi na education background ya muhusika.
 
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

tafadhali ondoa IFM NI MATUSI KWA WATAALAMU WA MASWALA YA FEDHA
 
bado watanzania wengi hatujafunguka kiakili,chuo fulani kuwa bora inatokana na jitihada za wanafunzi binafsi ili kukiletea chuo chao sifa nzuri,hata kama kuna malectures wazuri sana halafu hakuna jitihada za wanafunzi husika katika kuleta good perfomance chuo kitaendelea kubaki nyuma,halafu hii research imefanywa na nani naona wengi mnaongea sana lakini hamna utafiti wa kutosha,ni perception tu wazee msilopoke kama hamjafanya utafiti
 
1.
Maskini,waoga na
washamba-SUA

2.
Matajiri,wajanja na wenye
akili-MZUMBE

3. Wenye akili chache,wavivu na
matozi,master
duu-CBE DAR

4..
Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza
kiakili-IFM

5. Upeo
mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-
TUMAIN
UNIVERSITY

6.
Wazalendo wenye asili ya Arusha na

Moshi-MUCCOBS

7.
Wapenda ofa duni za
serikali-TIA

8.
Waliokosa vyuo
kabisa-RUCCO

9.
Mafundi-DIT,ST
JOSEPH

10. Wapenda
dezo na wamekosa nafasi
UDSM-UNIVERSITY OF
DODOMA

11. Wasiojali
future-SAUT, USTAWI WA JAMII,MWL
NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE
DODOMA

12.
wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli

4-6-IAA

13.
Wanaosoma sana but
silent-ST
JOHN,KCMC,BUGANDO,

14.
Wasiofahamu umuhimu wa
elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR
UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI
TABORA

15. Wakujitolea na future
duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk

16.
Wasiojali nchi
mamluki-ABROAD(
UK , USA ....)

17. Watu wa
sifa zote hapo juu za kila
aina-University of
Dar-es-salaam
Je
wewe ulisoma wapi katika vyuo hivyo na unasifa hizo
kweli??hahahaahah!!!!



Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni
 
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Weka evidence za ulichokisema
 
1.
Maskini,waoga na
washamba-SUA

2.
Matajiri,wajanja na wenye
akili-MZUMBE

3. Wenye akili chache,wavivu na
matozi,master
duu-CBE DAR

4..
Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza
kiakili-IFM

5. Upeo
mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-
TUMAIN
UNIVERSITY

6.
Wazalendo wenye asili ya Arusha na

Moshi-MUCCOBS

7.
Wapenda ofa duni za
serikali-TIA

8.
Waliokosa vyuo
kabisa-RUCCO

9.
Mafundi-DIT,ST
JOSEPH

10. Wapenda
dezo na wamekosa nafasi
UDSM-UNIVERSITY OF
DODOMA

11. Wasiojali
future-SAUT, USTAWI WA JAMII,MWL
NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE
DODOMA

12.
wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli

4-6-IAA

13.
Wanaosoma sana but
silent-ST
JOHN,KCMC,BUGANDO,

14.
Wasiofahamu umuhimu wa
elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR
UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI
TABORA

15. Wakujitolea na future
duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk

16.
Wasiojali nchi
mamluki-ABROAD(
UK , USA ....)

17. Watu wa
sifa zote hapo juu za kila
aina-University of
Dar-es-salaam
Je
wewe ulisoma wapi katika vyuo hivyo na unasifa hizo
kweli??hahahaahah!!!!
Mkuu ahsante kwa uboreshaji wa taarifa. Ngoja tusubiri wadau wafunguke.
 
IAA bonge la chuo, na kama unafuatilia watu waliomaliza IAA katika ajira wapo fiti si mchezo. anayebisha jua iyo ni jadi yake
 
SOMA HATA VYUO MAARUFU KULE MAREKANI,HATA UKISOMA MWENGE,MAKUMIRA ,IFM,CBE,UDSM HATA STD 6 etc.....

FUTURE BABA,

MKONO KINYWANI BABA,

ATM IPOO BABA?

UNAMUDU USHINDANI UNAPOKUWA KWENYE CHAMA CHA MEZA?

UCHUMI MFUKONI UKOJE?

CHEZEA FUTURE WEYE,CHEZEA MAISHAWEYE..POLE UNAYETEGEMEA JINA LA CHUO LIKUBEBE.


HIZO ZOOOOTE NI BULABULAAAAA NA KUKOSA KAZI ZA KUFANYA (JOBLESS CASES)...HAPA NDO NAAMINI KUWA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IMEKALIA BOMU LA AJIRA .
 
Sasa nimeamini "kitanda usicho kilalia huwezi jua kunguni wake" mleta maada kama una ndugu yako au mdogo wako mwambie aombe "i f m" then utaona kama hujarudishiwa kifurushi chako semester ya kwanza tu.
 
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Aisee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom