Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
tumaini university na matawi yake ndio wanaongoza
 
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums


Milimani, tena hawa ukiwapa papuchi tu wanakuletea hadi bwenini ujaze jina lako.
 
Chuo ambacho ukisoma unamaliza hujui kitu ni vijana wa mjengoni UDOM
 
OUT (Open University) iko fit au ... naona hakikutajwa!
 
mimi niwewahi waona watu wa udom kutaa tena waliosoma informatics
 
Wapo wanaosoma Ujenzi na Umwagiliaji Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ni baraa.Wanafunzi wanabebwa kisiasa hakuna mfano. Serikali ifuatilie hakuna shule kabisa pale
 
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
We jamaa unaijua IFM kweli? Au umeifananisha na CBE? Mpeleke mdogo wako kilaza pale uone kama hautalia kupoteza ada.
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.

Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni
Aliyetunga hii ni graduate wa mzumbe au dit. Sio mbaya ni mtazamo tu
 
Napingana na wewe! Si kweli kuwa mzumbe ni matajiri na wenye akili! Mzumbe kuna kujuana kuliko chuo chochote cha Tanzania! Wengi wa wanafunzi wanaoenda pale ni wale 'walioletwa' na mjomba au shangazi! Ni nadra sana kwa UDSM kuchukua mtu mwenye div 3 kwa ajili ya course za Sheria na Utawala! Lakini ukienda Mzumbe utakuta watu wa namna hiyo! Hao wana akili?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nafaham wengi sana wanaotaka masters za mteremko wanasoma mzumbe.
 
sijawahi kusikia hii, kwa hiyo hakuna supplementary? na kama ukifeli unarudia mwaka basi hizi ndio degree za mezani... SUA hakuna kurudia mwaka, ni supplimentary tu, na ukishindwa third attempt umedisco! na wastani wa sua ni 50. sio 40 kama UDSM na kwingineko. sua hakuna somo lenye credit hour zaidi ya 2, masomo mengine ni 1 au 1.5. tumaini kila somo lina credit hour 3. hahahaaaaa!
Duh! Mpaka 3rd attempt ndo unadisco?

Nyie bwana isikieni IFM tu ni shida. Supplimentary zipo kama huko kwenye vyuo vyenu ila cha ziada kuna core subjects ambazo hazibebeki. Alafu ukiwa na supp nne automatically ume disco haina cha kufanya supp tena.

Tofautisha kula bata na kusoma. Ndo maana waajiri wa masuala ya fedha na uhasibu wanasema wanaotoka IFM are the best.

Tusibushane sana bado na wewe una nafasi ya ku prove hili. Nenda kachukue hata certificate yoyote pale IFM uongeze tu utaalamu kidogo. Utaniambia kama hausomi semister moja tu. Ha ha haaa
 
OUT (Open University) iko fit au ... naona hakikutajwa!
OUT Master wako vizuri, sijui undergraduate kukoje, ila degree ya mezani hakuna, ukifanya mchezo unaweza ukasoma hata miaka saba haujamaliza, walimu wenyewe hauonani nao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom