simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 379
mie mgeni hapa
saut ndio?
saut ndio?
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM. Marks zako hazikutosha o level na ndio maana ukapita njia ndefu huko kwenye diploma
Napingana na wewe! Si kweli kuwa mzumbe ni matajiri na wenye akili! Mzumbe kuna kujuana kuliko chuo chochote cha Tanzania! Wengi wa wanafunzi wanaoenda pale ni wale 'walioletwa' na mjomba au shangazi! Ni nadra sana kwa UDSM kuchukua mtu mwenye div 3 kwa ajili ya course za Sheria na Utawala! Lakini ukienda Mzumbe utakuta watu wa namna hiyo! Hao wana akili?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Pamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ifm degree ya mezan? Ifm hata ukiwa una A 5 ukifel core moja tu unarudia mwaka...
anaesema DIT ni kwa waliofeli f4 na f6 hajui alisemalo. Pale wanachukua div 1 hadi 3 mwisho. Vinginevyo uingie kwa njia ya mature entry system ambayo unapewa mtihani mkali ukifaulu ndio uinngie. Tuulize sisi tuliotokea huko na pia ukubali kuwa umekosea. No research no right to speak
Ifm degree ya mezan? Ifm hata ukiwa una A 5 ukifel core moja tu unarudia mwaka...
Uko sahihi asilimia mia moja (100%) hasa hapo kwenye red!Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:
Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli(hapa nakataa) hasa kwa DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni
Mimi huwa naamini kitu kimoja "Mhandisi mzuri na anaejituma lazima awe amesoma ftc/diploma.Naona kuna shida ya uelewa kuhusu njia ya technical education, kwa kukusaidia tu ni kuwa kwa hapa nchini tuna Engineers waliosoma katika vyuo vinavyoitwa "University" mfano UDSM, na wengine wamesoma kwenye vyuo vyenye majina kama "Institute of Technology" mfano DIT.
Tofauti yao kubwa ambayo mimi ninaifahamu ni hii, karibu wote wanaosoma degree DIT wamesoma ama FTC (Full technician Certificate) au Diploma in Engineering. FTC na Diploma in engineering ni Miaka mitatu, na ni lazima uwe umefaulu vizuri O-level.
Wanaosoma degree ya engineering UDSM wengi wao wamesoma A-level (Miaka miwili) na idadi nyingine ni wale wa FTC/Diploma (waliosoma miaka mitatu)
Kuhusu output yao katika utendaji kazi ni vyema ukaulizia kwa waajiri wao watakupa majibu.
A: Technical path
1. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(3yrs). - Kama akisoma DIT/MUST.
2. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(4yrs). - Kama akisoma UDSM/St.Joseph
B: Non-technical path
1.Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------A-level(2yrs) ............ Degree(4yrs). - UDSM & St. Joseph
Naona kuna shida ya uelewa kuhusu njia ya technical education, kwa kukusaidia tu ni kuwa kwa hapa nchini tuna Engineers waliosoma katika vyuo vinavyoitwa "University" mfano UDSM, na wengine wamesoma kwenye vyuo vyenye majina kama "Institute of Technology" mfano DIT.
Tofauti yao kubwa ambayo mimi ninaifahamu ni hii, karibu wote wanaosoma degree DIT wamesoma ama FTC (Full technician Certificate) au Diploma in Engineering. FTC na Diploma in engineering ni Miaka mitatu, na ni lazima uwe umefaulu vizuri O-level.
Wanaosoma degree ya engineering UDSM wengi wao wamesoma A-level (Miaka miwili) na idadi nyingine ni wale wa FTC/Diploma (waliosoma miaka mitatu)
Kuhusu output yao katika utendaji kazi ni vyema ukaulizia kwa waajiri wao watakupa majibu.
A: Technical path
1. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(3yrs). - Kama akisoma DIT/MUST.
2. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(4yrs). - Kama akisoma UDSM/St.Joseph
B: Non-technical path
1.Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------A-level(2yrs) ............ Degree(4yrs). - UDSM & St. Joseph
Mh! Preta, jamaa walipiga division za ukweli ila Mzumbe ndo wanagawa hizo masters km njugu
na alichosoma mama yako nasikia muda wote alikuwa hafiki chuo lakini alipata degreePamoja na kwamba idadi ya vyuo vikuu inaongezeka Tanzania, kuna baadhi ya vyuo vimekua vikitoa shahada kirahisi sana, pasipo wanafunzi kutengenezwa vya kutosha kufikia mafanikio hayo!
Baadhi ya vyuo vinavyotoa degree za mezani ni Tumaini, St. John's na IFM. Wadau, ongezeni vingine.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hapo kwenye red ni suala na blue ni mada wewe umepata wapi shahada yako maana nakutilia mashakaNaona wachangiaji mnatoka nje ya maada. Hoja ni kusema wanachuo wanapata shahada za mezani. Swala sio wanaingiaje, ni jinsi gani wanakaa mezani ku negotiate pasipo kufanya mtihani wowote na wakapata shahada?
hapo kwenye red ni suala na blue ni mada wewe umepata wapi shahada yako maana nakutilia mashaka
Kumbe ukipata div 3 unakuwa huna akili. Kwani definition ya akili nini? Ni kufaulu hii mitihani ya kitz anayomuandaa mtanzania kusoma ili kufaulu mitihani na si kuweza kuyakabili maisha?
Nimeuliza tu.