Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
Definition ya akili Tanzania ni kufaulu mitihani ya NECTA na kuchaguliwa kwenda kusoma spesho school. Ila hizo spesho school zenyewe ukiziona hali yake..hmmm.

Halafu ukitoka spesho school unachaguliwa kwenda UDSM. Ukimaliza UDSM unaishia kula vumbi tu na huo uspesho wako!!

Ha ha ha haa nimeipenda hii Nyani Ngabu....umesahau na kujisifia kuwa ulisoma UDSM ulipata 1st class, ulifundishwa na maprof wa ukweli

Taabu sana.
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

Utafiti umefanywa na nani? Wabongo majungu elimu ya mtu ni performance yake. unataka kusema hata kama jamaa linafanya kazi yake kitaalamu hutaikubali kwa kuwa tu anatoka UDSM, CBE DAR au vyuo vingine ulivyovitaja kuwa vibovu? Tuache majungu tufanye kazi.
 
Napingana na wewe! Si kweli kuwa mzumbe ni matajiri na wenye akili! Mzumbe kuna kujuana kuliko chuo chochote cha Tanzania! Wengi wa wanafunzi wanaoenda pale ni wale 'walioletwa' na mjomba au shangazi! Ni nadra sana kwa UDSM kuchukua mtu mwenye div 3 kwa ajili ya course za Sheria na Utawala! Lakini ukienda Mzumbe utakuta watu wa namna hiyo! Hao wana akili?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mpaka hii post wewe ni mwanafunzi wa ud na upo mwaka wa kwanza ndio unaanza maisha ya chuo enhee..
 
Ili kutofautisha FB na
Jamiiforums jaribu kufanya analysis kabla ya kuleta thread zilizojaa
upuuzi kama hizi!

Unapozungumzia IFM umetumia vigezo vipi, ninachoamini ni kuwa umesikia
zile story za mtaani uwa IFM ni chuo cha bata etc, kitu ambacho si
kweli, perception ya walio wengi wanasema hvy kwaa sababu ya IFM ipo
city centre na wanaamini mjini ndiko starehe zinafanyika, dhana ambayo
ni kipofu wa great thinker kama wewe!

Nikuhaiishie kuwa IFM ni ati ya vyuo vichache ambavyo wanafunzi wake
wanafanya vema ktk soko la ajira, na msuli wa IFM si wa lele mama km
ambavyo unathubutu kusema, nimepita pale jamaa yangu hadi namaliza core
zilikuwa zinawarudisha watu nyumbani ku-carry najua kupo lkn suala la
Core nadhani kwa IFM ndilo linafanya IFM iwe tofauti na vyuo vingine!

Wenggine wataisaidia kuhusu upotoshaji unaozungumzia,
lkn kikubwa jaribu kufanya analysis vzr kabla ya uleta thread,

Ni kweli nimeamin kuna baadhi ya watu bado wanaishi kwakukariri na si kuelewa! Yawezekana chuo kikawa kibov ila wanafunzi wako vema! Au chuo kikawa vema ila wanafunzi matope. Kwa wale waliosoma c wanajjuwa walipo enda field? Hakuna uhusiano wamoja kwamoja USIANDIKE VITU KWA SIFA AU KISIASA KWA MA GREAT THINKER
 
Ha ha ha haa nimeipenda hii Nyani Ngabu....umesahau na kujisifia kuwa ulisoma UDSM ulipata 1st class, ulifundishwa na maprof wa ukweli

Taabu sana.

Maprofesa na madaktari wa ukweli wako sua si udsm!
 
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM....] kwenye slform mwanafunzi huchagua kati ya ufundi au a level!
 
Nimefurahi kuwa wale makada wa CCM mitandaoni hawapo, hawajafika huku elimu ya juu! GPA nzuri ni competence
 
ukweli ndio huo, wenye division 3 ndio aliokuwa wanapangwa DIT, ARUSHA TECH NA MTC. mimi nimesoma shule ya ufundi kwa hiyo nalitambua hilo. division 1 na 2 walipangwa advance unless uwe uliomba kupangwa chuo cha ufundi.

Unajua ulisemalo lakini?
 
Napingana na hii kabisa, nenda angalia waliomaliza chuo kama mwenge ambao wamesoma ualimu jamaa ni walimu, nenda muccobs nenda makumira, Acheni utani... angalia mzumbe kuanzia degree ya .kwanza wananunua pepa masters yao Ndio kabisaaa ....

hahahaa,Tumekusoma Mkali wao kutoka Makumila university!Akili ya mtu haitegemei Ugumu wa Mitihani nakukubali bana waache kuwadharau, Ujanja kupata kazi ya Ukweli sio mbwembwe za Kushindana vyuo!
 
All in all unachotakiwa ni kutafsiri ya kile ulichojifunza kwa vitendo pia unapobahatika kuwa na ajira ni kuwa karibu na wale waliokutangulia kwenye ajira hata kama umemzidi elimu kwani wewe una elimu na yule ambae ana certificate au diploma ana practical experience hivyo ukikaa pamoja kwa upendo unakuwa mkali na kufukia ma-gap yote ya kusoma chuo ambacho ni kibovu. Kwa ujumla siku hizi kila chuo michosho hasa ukisoma kozi ambazo zimeanza kutolewa hivi karibuni ambazo hazikuwepo awali wakati chuo kinaanzishwa (hii kwa vyuo vikongwe maana siku hizi unakuta SUA wanatoa sijui Rural development, Ardhi unakuta sijui Sociology kinachofanyika ni zimamoto hata lecturers waliopo ni wale waliotengenezwa kwa system ya vodafasta na kama kawaida yetu yule aliepata firt class ndo anaonekana ana uwezo wa kufundisha wenzake wakati tunatakiwa twende zaidi ya hapo kwani hata wakati wa kupiga msuli kuna watu kwenye group discussion ni wazuri wakuelezea mambo but mwisho wa siku nyie ambao mlikuwa mnaelekezwa na huyo mtu mnapata marks za juu kushinda huyo aliekuwa anawazunguusha mduara kumsikiliza mpaka mnashangaa wakati nondo zote mmetoa kwake)
 
Nimefurahi kuwa wale makada wa CCM mitandaoni hawapo, hawajafika huku elimu ya juu! GPA nzuri ni competence

wapo sana ila bado wanawashangaa sana mabingwa wa kushindanisha GPA lakin soli za viatu zimeelemea upande mmoja, Ubora wa Chuo siku izi imekuwa idadi ya wanaofeli, Ugumu wa mitihani, unoko wa wahadhiri na bado hamuoni aibu kujibatiza Usomi!
 
sijawahi kusikia hii, kwa hiyo hakuna supplementary? na kama ukifeli unarudia mwaka basi hizi ndio degree za mezani... SUA hakuna kurudia mwaka, ni supplimentary tu, na ukishindwa third attempt umedisco! na wastani wa sua ni 50. sio 40 kama UDSM na kwingineko. sua hakuna somo lenye credit hour zaidi ya 2, masomo mengine ni 1 au 1.5. tumaini kila somo lina credit hour 3. hahahaaaaa!

Kwan mtu akifel si anapata sup ndugu na ukishindwa kuichomoa unaarudia mwaka hakuna ku carry na ukishindwa mara 3 unadisko umezan uko wap?
 
Utafiti umefanywa na nani? Wabongo majungu elimu ya mtu ni performance yake. unataka kusema hata kama jamaa linafanya kazi yake kitaalamu hutaikubali kwa kuwa tu anatoka UDSM, CBE DAR au vyuo vingine ulivyovitaja kuwa vibovu? Tuache majungu tufanye kazi.
Nihoja tu mkuu sio majungu, hata mimi nimeletewa hiyo meseji, nikaijibu kama wewe lakini bado jamaa alikuwa mbishi. Ndio maana nikaamua niilete hapa ili na nyinyi mumtendee haki huyo bwana.
 
na ndomana soko letu litaishia kwenye ardhi hii,tutatumikishwa na wagen kutokana na ufinyu wa akil duni,tutachukua hizoo degree lakin tutabakia kunyanyuaa zegee tuuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom