Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
Waajiri wanaweza kuwa na takwimu nzuri kuhusu hoja hii, kwa kuwa wanawaona hawa watu wakiwa kazini.
 
Ifm degree ya mezan? Ifm hata ukiwa una A 5 ukifel core moja tu unarudia mwaka...
 
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Uko sawa kabisa kwa DIT.

bila kusahau MUST (Mbeya University of Science and Technology) zamani Mbeya Technical College, Arusha Technical College, kuingia lazima uwe umefaulu vizuri.
 
Kuna kitu tunakosa hapa. Evaluation ya vyuo kwa sasa naiona ni kazi ngumu kuliko unavyofikiri. Mf; ukisoma UDSM CoET, Law,etc lazima ukiri ni chuo bora zaidi. Lakini sio kwa course zote. Chuo kama SUA, karibia course zake zote zina ubora. Kwanini? Ratio ya students/lecturers, facilities etc. Hivyo vyuo ulivyovitaja; vina course zingine zenye ratio nzuri kuliko vyuo vikubwa. Wakati BBAs zao zaweza kua worse kuliko popote, lakini BAEd/Bsc zao zinahitahiji presentation, practices etc wanakua vizuri. Mf: niliwahi sikia Doctors from KCMC (Tumaini),Teachers from St. Johns, Accountants from IFM are among the best in the country. Kuna course hata hazipatikani kwenye hivi vyuo vyetu 'vizuri', kwa hiyo wanafunzi wazuri wanakutana na waalimu wao wazuri kutengeneza chuo kizuri. Hapa ndipo watu wanaposhindwa kutofautisha sifa za chuo kwasababu ya Faculty ipi na yeye anaenda kusomea ipi. Kama ni cheti, haina shida, kama ni competence, kuna shida hapo.

tragedy of the commons

hapo nilipo bold red hata mimi nimeshawahi kusikia kuwa ni wazuri. Nilisikia kutoka kwa Afisa Utumishi wa ofisi moja ya serikali.
 
acha ku support mainstream media,,kwa diploma kuingia pale inabidi uwe na c flat and above in pcm,,,sa nakushangaa mama,,mimi nilichaguliwa pale na nilikuwa na one ya kumi o -level from technical school na nikakutana na vichwa balaa na sasa hivi ni potential people in different organizations na nation,,,pia kijana wangu anaenda hapo diploma ana one ya kumi na tatu,,hebu jaribu kwenda uone?

Mbona una ubishi wa kilugulu. Issue ni kwamba uli fail form 6 . Kama ungefaulu vizuri ungeenda udsm kuchukua engineering kiulaini. Pole lakini kwa kupitia njia ndefu
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

Yani hiyo Mzumbe walikosoma akina Makinda, Luhanjo, Utoh, Nchimbi, Kamala, na wengine wa aina hiyo!
Hao ndo wenye pesa na akili?????

Chuo kilichokuwa na mkuu profesa baadaye akashushwa hadi kuanza kusoma PhD?
Chuo ambacho ni kimbilio la wanasiasa kupata PhD?

Haya mkuu, ila angalia usije ukawa umepokea ujumbe toka kijana wa kindagateni.
 
Mbona una ubishi wa kilugulu. Issue ni kwamba uli fail form 6 . Kama ungefaulu vizuri ungeenda udsm kuchukua engineering kiulaini. Pole lakini kwa kupitia njia ndefu

Naona kuna shida ya uelewa kuhusu njia ya technical education, kwa kukusaidia tu ni kuwa kwa hapa nchini tuna Engineers waliosoma katika vyuo vinavyoitwa "University" mfano UDSM, na wengine wamesoma kwenye vyuo vyenye majina kama "Institute of Technology" mfano DIT.

Tofauti yao kubwa ambayo mimi ninaifahamu ni hii, karibu wote wanaosoma degree DIT wamesoma ama FTC (Full technician Certificate) au Diploma in Engineering. FTC na Diploma in engineering ni Miaka mitatu, na ni lazima uwe umefaulu vizuri O-level.

Wanaosoma degree ya engineering UDSM wengi wao wamesoma A-level (Miaka miwili) na idadi nyingine ni wale wa FTC/Diploma (waliosoma miaka mitatu)

Kuhusu output yao katika utendaji kazi ni vyema ukaulizia kwa waajiri wao watakupa majibu.

A: Technical path
1. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(3yrs). - Kama akisoma DIT/MUST.

2. Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------FTC/Diploma(3yrs) ............ Degree(4yrs). - Kama akisoma UDSM/St.Joseph

B: Non-technical path

1.Darasa la saba (7yrs) ----- O-level (4yrs) ----------A-level(2yrs) ............ Degree(4yrs). - UDSM & St. Joseph
 
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM. Marks zako hazikutosha o level na ndio maana ukapita njia ndefu huko kwenye diploma
 
Chuo ni kimoja tu tz kinachotoa degree yake kwa TABU SANA muda mrefu na ni Open University Tanzania
 
Umeelewa hizo njia mbili nilizokuonyesha? Au kwako wewe kuwa na Engineering Degree ni mpaka usome UDSM?

Kuna mtu namfahamu mpaka matokeo yake ya O-level na ni Engineer wa Umeme. matokeo ya O-level alikuwa na Div-I ya pt 17 na kwenye PCM alikuwa na C-B-C.
 
Ili kutofautisha FB na Jamiiforums jaribu kufanya analysis kabla ya kuleta thread zilizojaa upuuzi kama hizi!

Unapozungumzia IFM umetumia vigezo vipi, ninachoamini ni kuwa umesikia zile story za mtaani uwa IFM ni chuo cha bata etc, kitu ambacho si kweli, perception ya walio wengi wanasema hvy kwaa sababu ya IFM ipo city centre na wanaamini mjini ndiko starehe zinafanyika, dhana ambayo ni kipofu wa great thinker kama wewe!

Nikuhaiishie kuwa IFM ni ati ya vyuo vichache ambavyo wanafunzi wake wanafanya vema ktk soko la ajira, na msuli wa IFM si wa lele mama km ambavyo unathubutu kusema, nimepita pale jamaa yangu hadi namaliza core zilikuwa zinawarudisha watu nyumbani ku-carry najua kupo lkn suala la Core nadhani kwa IFM ndilo linafanya IFM iwe tofauti na vyuo vingine!

Wenggine wataisaidia kuhusu upotoshaji unaozungumzia,
lkn kikubwa jaribu kufanya analysis vzr kabla ya uleta thread,

Mkuu hapo umeongea ukweli,huyu jamaa inawezekana amesoma kile chuo cha majigambo na wazee wa chabo kwenye pepa!namuhakikishia kwamba kama angesoma IFM au IAA huyo angedisco mziki wa pale acngeuweza.muulize wanafunzi gani wanaofanya vizur kweny soko la ajira?au mwambie afuatilie mitihani ya bodi ya uhasibu(CPA) thn ndio atajua statistics ya wanafunzi waliotoka vyuo vip ndio wanafanya vizur.aache upumbavu wa majigambo yacyokuwa na maana.UDSm labda sheria tu ndio wamebakia nayo na bado Tumaini wanawakimbiza kwenye soko!!
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

ha ha ha ha ha ha ha ha ha hii list iliwahi kuniacha hoi kipindi cha nyuma nilipoiona ikiwa facebook aisee...
 
Chuo ni kimoja tu tz kinachotoa degree yake kwa TABU SANA muda mrefu na ni Open University Tanzania

hamna kitu hapa ni kuwa huwa ni wazembe na wanachelewesha mambo tu lakini hakuna cha ziada ni kama hivi vingine kama IFM, CBE etc....
 
kuna chuo kina dharaulika lakin degree yake kubata ni ngumu....moja wapo ni Udom....kila darasa lazma robo ya wanafunzi warudi nyumbani....hata GPA zao ni viduchu sana
 
Jaman naomba mnisaidia UDSM nawachukia! hv kwanin wanapenda kudharau vyuo vingne? wana upekee gani ktk raman ya wasomi dunian,wana vgezo gan vzur vya kujchukulia kama ni wasomi bora hapa nchin ? Oh! Ma God, i real hate them.
 
Mbona una ubishi wa kilugulu. Issue ni kwamba uli fail form 6 . Kama ungefaulu vizuri ungeenda udsm kuchukua engineering kiulaini. Pole lakini kwa kupitia njia ndefu

mkuu tokea lini ukimaliza technical school ukafaulu alafu uende advance,,ukimaliza tech unaenda technical college,,mkuu fuatilia i was not from academic schools bt tech,,,alafu kwa taarifa yako pale dit sasa hivi wanaendana na mfumo wa tcu so mtu akimaliza form four anaingia od though not good as ftc anakuwa na uwezo wa kuunganisha moja kwa moja hadi degree miaka sawa na atakaye soma advance,,hebu kaangalie viwango vya kuingia dit na udsm ka vinatofautiana,,
 
Unaposema Tumaini unamaanisha branches zote za Tumaini including KCMC? msaada tafadhali wakuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom