Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

Status
Not open for further replies.
Kila chuo kizuri, na kila mtu ana akili....

" Everybody is Genius. But, if you judge a fish by its ability to climb a tree, it will spend its whole life believing that it is stupid" Albert Einstein
 
Juzi nilipokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni, ilisomeka hivi:

Hebu cheki sifa za waendao vyuoni.
Matajiri na wenye akili-Mzumbe
Mahandsome na warembo-IFM
Maskini na washamba-SUA
Malaya na wasiojiweza kiakili-CBE Dar
Upeo mdogo na watoto wa mama-Tumaini
Waliokosa vyuo kabisa-MAKUMIRA, MWENGE
Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima-UDOM
Wasiojali future zao-USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE, TEKU, SEKUCO
Wenye uwezo ila walifeli FIV/FVI-IAA, DIT
Majigambo kibao lakini taaluma hamna kitu-UDSM
Wasiofahamu umuhimu wa elimu, wanategemea chabo ili wafaulu-Magogoni

sasa huu ni utoto wa toka facebook,mtu mzima unakuja kupost upumbavu kama huu kwa great thinkers wa JF, akili yako kweli inafanana na akili ya mauti,
 
hata usome mzumbe kama hauna mtu wa kukupigia pande imekula kwako, lakini waweza mkuta mtu kasoma datastar college tu anatusua maisha we wa mzumbe na gamba lako unabaki unang'aa sharubu mjini.....!!! Ubora wa vyuo ulikuwa zamaniiii!!!
 
Si ndio.......wapo fit lakini walifeli secondary......
Mimi nilikuwa na div 1 ya 12,kutoka st anthony Mbagala nikajiunga DIT walimu na viongozi wa shule yangu(St Anthony) walikuwa wanashangaa kwa nini sikwenda v na vi nikajiunga DIT,darasa lilikuwa na wanafunzi 25 tu kwa kozi nzima na hakuna aliyekuwa na div II,ni I na kuendelea,Nilipata taaluma ambayo sasa unaniwezesha kujikima kimaisha naweza kuona tofauti kati yangu na wale walionda v na vi.SI kweli wanaoenda DIT wamefeli sijui kuhusu IAA,fanya tafiti tena.
 
Narudia tena . Ungefaulu vizuri sayansi na comb zinge balance. o level ungeenda a level na hiyo PCM yako then na huko ungefaulu vizuri ungeenda engineering UDSM. Marks zako hazikutosha o level na ndio maana ukapita njia ndefu huko kwenye diploma
Kaka unabisha vitu ambavyo hujui mimi nilipata div 1 pts 12,nilisoma pure mathematics ST Anthony Mbagala(kwa wale waliosoma st anthony&Shaaban Robert& AL-Muntazil au Aga Khan wanafahamu nazungumzia nini)
na nilichagua kwenda DIT.
 
Tanzania vyuo viko vitatu tu,udsm,sua na muhimbili labda na udom kwa baadae..huko kwingine ni watu wameenda kukua tu na kupoteza muda wao.over
 
Tanzania vyuo viko vitatu tu,udsm,sua na muhimbili labda na udom kwa baadae..huko kwingine ni watu wameenda kukua tu na kupoteza muda wao.over

nimepitia majibu yako na it shows how foolish you are,,try to think and re settle your iq mkuu,,,,nimesoma DIT,o-level nilipata 1.12 from a tech school na elimu nilioipata hapo its world class,i pitty your iq,
 
Hili jukwaa la elimu kama lingetumika ipasavyo lingekuwa jukwaa lenye manufaa makubwa sana kwa wana-JF na wadau wengine wa elimu wanao tembelea kwenye hili jukwaa kuangalia yanayo jadiliwa.

Jukwaa hili lingetumika katika kujadili mambo yale ya msingi hasa yanayo gusa sekta hii ya elimu, kama vile hatua tulizopiga katika maendeleo ya elimu toka uhuru, changamoto zinazo kabili sekta hii na mapendekezo ya kuboresha elimu itolewayo hapa nchi ili ilingane na viwango vinavyo kubalika kimataifa.

Badala yake sasa, mambo ya kipuuzi na kupoteza raslimali, muda na nguvu ndio yanayo jazwa humu kwenye jukwaa la elimu, jukwaa hili ni bora libadilishwe jina na kuitwa jukwaa la udaku, kwani mambo yajadiliwayo ni udaku udaku tu mfano ni kama huu uzi.

Kwa kumalizia tu, msije mkasema oooh huyu mchangiaji amekosoa mijadala ya humu jukwaani kwa kuwa na yeye amesoma kwenye vyuo hivi mlivyovipa majina kama vile "vya kata", "degree za mezani", "degree za chupi" n.k, la hasha jamani, kwanza nasema hapa nchini hakuna chuo kinacho stahili kupewa hayo majina, wote tunapaswa kuheshimu vyuo vyetu na kama tunahitaji kujadili mapungufu, basi tutafute njia bora ya kufanya hivyo na sio huu mfumo unao endelea kutumika sasa.
 
Hii ni dharau iliyopitiliza kiwango, Serikali inachukuaje maamuzi kama haya bila kujali kuwa kuna shule za Kiislam na Vyuo vikuu ambavyo vinategemea kupata wanafunzi kutokana na wanafunzi waliomaliza kidato cha sita wenye somo la Maarifa ya Uislamu ? "

" Kama Serikali imeona kuna mantiki kujitoa katika kutahini somo hili, kwanini ifanye kinyemela ? Kwanini isiwashirikishe wadau husika ili kujua ni utaratibu gani mwingine utafanyika ili Vyuo vikuu vya Kiislamu vilivyopo visiathirike ? Kwanini wasikae pamoja na Panel ? Mbona waliwaita Wakristo ? Kitu gani kiliwafanya wakwepe kuwaita Waislamu, ni dharau , UDINI au kuna agenda gani ya siri ?
 
sasa huu ni utoto wa toka facebook,mtu mzima unakuja kupost upumbavu kama huu kwa great thinkers wa JF, akili yako kweli inafanana na akili ya mauti,
Upi utoto, kuleta mada uliyosikia mtaani ili ijadiliwe au kutukana watu usiowafahamu? Sio kosa lako ila ni malezi mabovu uliyopata toka utotoni.

Bila shaka kama sio muhitimu wa Kawambwa basi wenye hekima wameshajua chuo chako.
 
nimepitia majibu yako na it shows how foolish you are,,try to think and re settle your iq mkuu,,,,nimesoma DIT,o-level nilipata 1.12 from a tech school na elimu nilioipata hapo its world class,i pitty your iq,
Hiyo degree yako inautata, haiwezekani msomi akawa na matusi kama yako, na wala hicho chuo ulichosema hakina watu wenye akili chafu kama zako.
 
Elimu Ya tanzania wala si ya kuongelea, watu wengi tu vyuoni tena kama wale wa UD ndio asilimia kubwa weupe kabisa.
 
Elimu Ya tanzania wala si ya kuongelea, watu wengi tu vyuoni tena kama wale wa UD ndio asilimia kubwa weupe kabisa.

wewe akili yako haina tofauti na ya nguruwe..pole sana kwa kuwa kilaza mpaka ukakosa chance ya kua admitted hapa state university of tanzania..
 
Maprofesa na madaktari wa ukweli wako sua si udsm![/QUOT

Unahitaji kuelimika kidogo...maprofesa wa ukweli ni watu gani?
nakupa mcahnganuo kidogo...
SUA= wamejikita zaidi katika kilimo,mazingira na misitu kwahiyo tunategemea kua na wataaalamu wa fani hizo, sitegemei kusikia Full professor in Electrical Engineerimg kutoka SUA
UDMS=ina uwanda mpana wa kozi nyingi hivyo nategemea kupata wataalamu wa fani tofauti tofauti kama Engineering,General science na sayansi ya jamii
IFM and MZUMBE(IDM mzumbe)=walikua wanatoa Advance Diploma miaka ya nyuma na miaka ya karibuni ndo wameanza kutoa shahada naomba hoja ya advance diploma ni sawa na degree isiletwe hapa kwa sabab ni hoja isiyo na mashiko
Muhimbi(MUHAS)+Ardhi=hivi vilikua sehemu ya UDSM na hadi siku za karibuni walikua wanatumia workshop moja kwa wanafunzi wa shahada ya kwa pale ardhi hawa walifanywa rasmi kua vyuo vikuu kwa hoja mfu ya CCM ili kuongeza idadi ya vyuo vikuu wakiwa siasani hivyo hivi ni vyuo vya kisiasa
DIT=walikua wanatoa FTC na Diploma, wameanza kutoa shahada miaka ya michache iliyopita nadhani kati ya 2000...
Lakini kwa ujumla kuna vyuo vipo kibiashara hata kama ukifanya vibaya huwezi disco kwa sababu watakosa ada ambayo ndo inatumika kuendeshea vyuo hivyo
!!!CHUKUA HATUA NA FUATA NJIA ILIYO SAHIHI!!!!!!!!!!!!
 
wenye uwezo ila walifeli fiv/fvi-iaa, dit

hii naipinga! Jamaa wapo fiti sana

si kweli ili ujiunge dit lazima ufaulu iv tena combination ya pcm ibalance kwa minimum ya point 9,na ukitoka hapo upo fiti kuliko anayefanya bachelor ya fani hiyohiyo udsm, me nilikuwa nawacheka sana wale tuliokuwa wote toka udsm field kiwanda fulan, wakati nafanya od yangu pale.
 
hiyo degree yako inautata, haiwezekani msomi akawa na matusi kama yako, na wala hicho chuo ulichosema hakina watu wenye akili chafu kama zako.

kwahiyo umekubali kuwa akilizake ni safi kwakuwa naye ni kutoka dit kinyume na dhana yako ya awali!!!?
 
Hii ni dharau iliyopitiliza kiwango, Serikali inachukuaje maamuzi kama haya bila kujali kuwa kuna shule za Kiislam na Vyuo vikuu ambavyo vinategemea kupata wanafunzi kutokana na wanafunzi waliomaliza kidato cha sita wenye somo la Maarifa ya Uislamu ? "

" Kama Serikali imeona kuna mantiki kujitoa katika kutahini somo hili, kwanini ifanye kinyemela ? Kwanini isiwashirikishe wadau husika ili kujua ni utaratibu gani mwingine utafanyika ili Vyuo vikuu vya Kiislamu vilivyopo visiathirike ? Kwanini wasikae pamoja na Panel ? Mbona waliwaita Wakristo ? Kitu gani kiliwafanya wakwepe kuwaita Waislamu, ni dharau , UDINI au kuna agenda gani ya siri ?

mfumo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aisee hapo Arusha tech usifanye mchezo.yule mama Sikawa sitamsahau
Uko sawa kabisa kwa
DIT.

bila kusahau MUST (Mbeya University of Science and Technology) zamani
Mbeya Technical College, Arusha Technical College, kuingia lazima uwe
umefaulu vizuri.
 
wewe akili yako haina tofauti na ya nguruwe..pole sana kwa kuwa kilaza mpaka ukakosa chance ya kua admitted hapa state university of tanzania..

kwenye accounts mnaandaliwa kuwa viongozi, real technicians wanatoka mfumo wa NACTE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom