Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Vyuo vikuu; msingi wa ndoa mbovu

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
3,210
Reaction score
5,680
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?

Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.

Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
 
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?
wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha. Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa mawao yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
Si hao wa kiume tu hata wa kike vyuo vikuu vinawaharibu sana. Mungu apishe mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si hao wa kiume tu hata wa kike vyuo vikuu vinawaharibu sana. Mungu apishe mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
KAKA nimeona tu niongelee ya watoto wa kiume maana hawa ndo wanaenda kuwa "vichwa vya familia" (kaazi kqeli kweli ) ila ya watoto wa kike ndo yanatisha mno nimeshindwa hata pa kunzia kuyaelezea
 
ndio maana nasemaga siku zote wanachuo wengi ni wasomi wasiojitambua na kujielewa pia
 
Kabisa mkuu mtoa uzi hata hujakosea aiseee!!

Juzi nilikuwa Dodoma kuna chuo kimoja hivi kina watoto wa kike visu/wakali/wazuri sana.

Nilikaa wiki moja na siku hivi...

Wale watoto wanapenda kula chipsi kuku hatari sana aiseee!!

Nahisi ndo chakula chao kikuu wakiwa pale chuoni

Wacha niwe mkweli tu wakuu niligegeda/niliwagegeda sana.



"Enough of No Love"
 
Ma Engineer Wa Hovyo Kabisa Wa Hiyo Wizara
Bora Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Kasema Wazi

Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu
 
Na wakiingia mtaani wengi wao hadi wakue itawachukua 15 years.
 
Lakini mkuu kuna wachache wasiendeshwa na anasa asee
Mbona nimetanabaisha kwenye uzi mkuu

Ukiona jambo linaongelewa ujue limefanywa na wengi ndio maana huwa gumzo na haimaanishi kuwa kadhaa hawazingatiwi
 
Kiukweli hawa vijana wanatia huruma + hasira. Nipo jirani na chuo cha Uhasibu Dar, kutwa ni kushindana kubadili simu na kubana suruali zao za mpira. Hakuna la maana wanalozungumza
 
Back
Top Bottom