Mkuu vipi Muhimbili.kwa vyuo vya dar.. chuo ambacho kina wanawake wengi wanajiheshimu ni udsm ndio angalau...ila vyuo vinavyobaki ni drama tupu
Kama we haukufanya kipindi upo chuo haina maana na wengine hawakufanya. Cha muhimu ni kwamba kila kipindi kina makundi yakeHata kama unataka kuhalalisha uzinzi na anasa hizi sababu ulizotia ni nyepesi sana, wengi tumepita huko mavyuoni ila mienendo yetu ni ya kawaida na tuna misingi mizuri kila idara kuanzia kwenye mahusiano hadi kutafuta maisha
Fact!!!
Kiukweli me nilipokua chuo anasa zilinipitia kushoto sababu sikua na kitu. Mkopo nilikosa nikasoma kwa tabu sana, hivyo sikua na time ya demu wala kwenda clubs. Watu aina yangu tulikua tunaitwa 3-0 yaani wakimaanisha miaka mitatu chuo bila kuopoa demu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Imani unaishi kwa raha mustarehe hivi sasa bila msongoKiukweli me nilipokua chuo anasa zilinipitia kushoto sababu sikua na kitu. Mkopo nilikosa nikasoma kwa tabu sana, hivyo sikua na time ya demu wala kwenda clubs. Watu aina yangu tulikua tunaitwa 3-0 yaani wakimaanisha miaka mitatu chuo bila kuopoa demu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo inahalalisha auKama we haukufanya kipindi upo chuo haina maana na wengine hawakufanya. Cha muhimu ni kwamba kila kipindi kina makundi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sanaHaswa uku nilipo ivi tupo mbali na Tanzania yetu,,,wabongo wameona kabisaaa wakati wa likizo mapenzi yanakufa mpakani,,,,na kuna dada kajifungua home wahajui bahati mbaya mtoto kafariki tumezika uku uku,,yani maisha ya Chuoni kikubwa ni mtu kujitambua
Sisi watazamaji,,tushapoaPoleni sana
Ni Mtz mwenzangu tu coz tunachama chetuNi marafiki zako!?
Dah siwezi mana nimetumwa na Kijiji Kwa kweli,,Ni kusoma mengine yatakuja Kwa wakati sahihiSidhani kama nawe utafika huko
Nikiwaangalia wanafunzi wengi wa vyuo vikuu napatwa na walakini juu ya maisha ya mbeleni pindi watakapokuwa na familia; sijajua shida iko wapi, Je wanaingia chuoni wakiwa wadogo sana kiumri au ni hulka tu kwamba mtu akifika chuo lazima "ale bata"?
Wavulana wengi chuo kikuu huishi kwa kufuata mkumbo rika yaani inatokea tabia yake awali ilikuwa njema ila baada ya kuchangamana na aina fulana ya watu anajihisi unyonge kutofuata yale wenzao "wajanja" wanayofanya.
Wavulana wa chuoni huona kipindi ambacho wao wako chuo ndio kipindi ambacho ngono inabidi iwatambue wao ni akina nani (SIO WOTE) N a hili suala hupelekea wengi kutokuwa wavumbuzi wa masuala ya msingi ya kimaisha.
Mvulana akiwa chuo anapolalamika kuhusu boom kuwa halitoshi mawazo yake yote ni kutaka kufidia kwenye anasa hasa uzinzi
mimi nawaambiaga mtoto wa kiume ukipokea laki tano na sitini kila baada ya miezi miwili na ukalialia utakapoajiriwa wewe ni KILAZA MSHENZI
kwa vyuo vya dar.. chuo ambacho kina wanawake wengi wanajiheshimu ni udsm ndio angalau...ila vyuo vinavyobaki ni drama tupu