Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Mkatoliki kaja sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo Ni Biashara kama biashara zingine , lazima zijengwe katika misingi ya kiushindani, tofauti na hapo vyuo ya selikari vitaendelea kusomba wateja wote kwa sababu ya mazingira,
 
Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku UDSM itakapoajiri mwalimu aliyesoma SAUT/ St John au St Joseph, itaburuza mkia kwenye rankings za vyuo Afrika na Duniani...

UDSM kwa mfano ni chuo kinachotoa Honorous degree. So its virtually difficult kumleta mtu aliesoma Ordinary Bachelor Degree kuja kuwafundisha watu wa honorus degree!
 
Choka tu. Kwani una mchango gani kwa nchi

Wewe ndio una mchango gani sasa?

Weka bank statement yako hapa tuone!

Hii arrogance ya kujifanya hii nchi ni yako zaidi ya watu wengine inakufanya uonekane mpumbavu zaidi.

Basi tu wacha ninyamaze
 
Wewe ndio una mchango gani sasa?

Weka bank statement yako hapa tuone!

Hii arrogance ya kujifanya hii nchi ni yako zaidi ya watu wengine inakufanya uonekane mpumbavu zaidi.

Basi tu wacha ninyamaze
Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!
 
Baada ya 10years ataondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…