Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

KIU sijui kama wanaweza kulipa mishahara Zama hizi za janga
 
Sidhani Kama lengo la serikali ya magufuli Ni kuua sekta binafsi
Labda useme vyuo vikuu vimekosa ubunifu, mfumo was elimu ya Tanzania kwao ujumla Ni hovyo , elimu haimjengi mwanafunzi aweze kujitegemea hvyo vyuo vilipaswa kubuni kozi mbadala zitakazowawezesha wanafunzi kujitegemea
Hebu fikiria hata wakati huu wa janga la covid Ni aibu Sana kwa vyuo vikuu kushindwa kuendelea na masomo na wanafunzi wao(online)
Hi Ni aibu kubwa Sana Sana , hakuna ubunifu kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezunguka Sana mkuu Ila hoja yako kuu ilikuwa kulenga UDSM sijui panakuuma Nini Mkuu wangu!! Ungekuwa Neutral ungetaja Basi na udhaifu wa hapo UDOM kwako au usingetaja UDSM!!

Typed Using KIDOLE
 
Ni kweli kiwango chenu ni duni sana.Mnapeana alama Bar na kwenye Nyumba za kulala wageni.

Nimeshuhudia muuguzi alikuwa amefanyiwa mtihani wa kidato cha nne ili ajiendeleze,alifanikiwa kusoma st john akapata degree kwa kuwekeza pesa nyingi kwa wahadhiri,na hatimae alienda kusoma masters na kwenyewe alitumia mbinu hiyo hiyo.
Nawashangaa sana wasomi wa Tanzania maana wengi wanatoka kwa jinsi hii na ndio maana akiingia kazini anakuwa mchawi tu ili asiguswe na mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa katoliki la wapi?

Hujui watu walikuwa walimu walishinikizwa kufaulisha watu fulani fulani na maaskofu?
Au unaishi Ulaya hadi tutumie nguvu sana kukuelezea udhaifu mkubwa uliopo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kiwango duni? Who is this idiot? Mimi nimesoma UDSM lakini hakuna Chuo Kikuu cha Kitoto kama UDOM na UDSM. Lecturer akikuona mzuri unapata desa la mtihani kiulaini na na Special Project unandikiwa fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna msichana mzuri anayefeli Chuo kikuu Tanzania,labda awe anamwogopa sana Mungu.

Kwa hiki kizazi,kupata msichana mzuri anamcha Mungu,ni vigumu kama kuokota dhahabu manzese.

Ukikuta anafanya ibada sana,ujue alishaharibu sana!
Eti kiwango duni? Who is this idiot? Mimi nimesoma UDSM lakini hakuna Chuo Kikuu cha Kitoto kama UDOM na UDSM. Lecturer akikuona mzuri unapata desa la mtihani kiulaini na na Special Project unandikiwa fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDSM
UDOM
Mzumbe
SUA
IFM
CBE
TIA

Vibaki hivi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe unatilia chumvi kwenye kidonda. Kwa nini mazingira yasiboreshwe vyuo vyote vilivyopo vidahili na viendelee? Hapo tutakuwa tunarudi nyuma. Vyuo vya mashilika binafsi hususani ya dini yana umuhimu mkubwa sana kuendana na idadi kubwa ya wahitimu wa sekondari kidato cha nne na sita. Utakuwa ni shaidi kuwa kila mwaka wahitimu wanaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri nyie wenyewe ndio mnatoaga siri

Kama ulipewa desa la mtihani na kusaidiwa kufaulu shukuru Mungu tu maana wakikukazia,hata kama ni genius,utajiona huna lolote
Eti kiwango duni? Who is this idiot? Mimi nimesoma UDSM lakini hakuna Chuo Kikuu cha Kitoto kama UDOM na UDSM. Lecturer akikuona mzuri unapata desa la mtihani kiulaini na na Special Project unandikiwa fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…