Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,762
- 27,490
mshana jr
LEO NI SIKU KUBWA SANA!
NI CHRISTMAS ILIYOANGUKIA KATIKA FULL MOON,
MARA YA MWISHO CHRISTMAS KUANGUKIA KATIKA FULL MOON NI MWAKA 1977,JE MWAKA HUO NI NINI KILITOKEA TANZANIA?
TUTARAJIE TENA CHRISTMAS YENYE FULL MOON MWAKA 2034 MAJALIWA KAMA TUTAKUWEPO!
ii
Preta hii tufanye next week ili ikamilike vizuri, tukumbushane nikisahauMshana Jr.......hebu nisimulie kuhusu perfumed gardens..........
Na hilo Phantom halina kinga wala tiba?
Hebu wasiliana na Binti Magufuli
Sumbawanga hakuna kitu chochote special kuhusiana na haya mambo ya uchawiHivi sumbawanga wakiweka na chuo itakuje jamani....
Acha kupotosha watu ww.. hivi mtu unakua kama huna dini hadi uamini ushirikina?... MUNGU pekee (ALLAH) ndo muweza wa kila kitu.. NOTHING can ever happen without his will.. hata uende kwa mganga gani au chuo gani huwezi kufanya kitu ambacho yeye hataki kifanyike. Mfano. Mwanamke hapati mtoto alaf anataka kwenda kwa mganga ili apate. Seriously? Hivi huyo mganga ndo anaweza umba kiumbe? Hivi huyo mganga yeye hakuzaliwa kutoka tumboni mwa mwanamke? Hivi yeye anauwezo wa kubadili alichokupangia Mungu?(Qadar) .. tuacheni udwanzi wa kifikra jamany. Tuamkeni.
Niliwah msikia msomali mmoja aliyeokoka akisema, elimu ya juu zaid ya uchawi duniani inapatikana Lebanon, kuna chuo maalum kwa ajili hiyo. Mtafute youtube anaitwa Adam Haji
Ngoja nijipange I need to learn something
Sumbawanga hakuna kitu chochote special kuhusiana na haya mambo ya uchawi