Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Sidhani kwa kweli. Labda watakapoanzisha chuo Sumbawanga.
mshana jr kumbe kuna vyuo kabisa? Dunia ina mambo hii!

Sio vyuo tu Jimena hata zana na remedies official kabisa 1451027163217.jpg 1451027179561.jpg hizi mbili ni zana hatari sana kwenye mambo ya ulozi na ushirikina, Phantom lake huwa halikopeshi na likipiga linapiga hasa huchomoi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ili wazungu waweze kututawala ni kuhakikisha wanatokomeza tamaduni na mila zetu na mila kitu chetu na kutuletea vya kwao
Zamani babu zetu waliomba mvua kwa mila zao na mvua zilinyesha.
Babu zetu waliomba kwa mila zao na mabalaa yaliondoka.Babu zetu walikuwa na technology zao mbalimbali na walifanikiwa.
Babu zetu kwa kila jamii flani walikuwa na wakuu wao waliomba kupitia wao na ujumbe ulifika kwa mwenyezi mungu

Leo tunaomba mvua kupitia mila za kigeni mvua hainyeshi.
Leo tunatumia technology za kigeni kwa 100% na hatujafanikiwa.
Leo kila jamii inaomba kupitia wakuu wa kigeni mfn mt Joseph,mt ibrahimu hawa sisi hawatujuwi na wala hatuna ukoo nao inapotokea wewe msukuma unaomba kupitia Joseph au Ibrahim na kwa wakati huo huo muisrael naye anaomba kupotia hao hao wapeleke ujumbe kwa mwenyezi mungu hivi ujumbe upi utaanza kupelekwa jibu ni was muisrael coz ni wataifa lake ila kama msukuma angeomba kupitia mwanamalundi huyu angemtetea kwa mungu na kumlilia coz ni wataifa lake au mchagga angeomba kwa mangimeli mangimeli angempigania coz huyu ni mwanae
Leo wazungu,waarabu wametuaminisha ili uwe muislamu lazima uwe na jina la said,khamis,maimuna nk wakristo uwe najina la kiyahudi na kizungu km yohana,Mary nk
haya Yakima swai,maduhu,chaula,kibasila,shemuhonga,mwakitwange,chacha,kapinga,kamgisha,wazungu,waarabu,wayahudi wakayaita ni majina ya kipagani

Nitajie mchina mmoja anayeitwa Joseph,said,mary,nk kama hakuna ndipo utajuwa kwanini Leo wachina ni taifa lenye uchumi mkubwa na technology duniani
Ndp utajuwa kwanini leo tunaona dawa za kiasili za kichina zinatamba duniani.

Jiulize kwanini dawa zetu leo za asili zinauzwa bei ghali pengine kuzidi za kisasa
Jiulize wazungu waarabu walifuata nini kwa mzee was kikombe kama vyakwetu nivyakipuuzi

Sisi kamwe tutakuwa watumwa wao tu coz tumeua vyakwetu tukatukuza vya kwao
 
Kadiri ya sucularism na serikali kutoamini ushirikina, je wanaweza kuja kufungua tawi Tz?
 
Dunia na vyote viijazavyo ni mali yake, naam binadamu na vyote vilivyomo...... Kwenye kila kitu kuna hasi na chanya kwahiyo kitu hicho hicho ukikitumia vibaya kikadhuru huo ni ushetani lakini nguvu hiyo hiyo ukiitumia ikaleta matunda mema huo ni uungu

hapo nimekupata,so hata shetani anaweza akatumia nguvu alizopewa na mungu kwa kufanya mema.
 
Kadiri ya sucularism na serikali kutoamini ushirikina, je wanaweza kuja kufungua tawi Tz?

Wakija na gear za misaada watapokewa mbona ishu za ushoga zimepokewa kimyakimya
 
Ni vipi wewe uliamua kujifunza elimu hiyo angali unajua sote tumeumbwa na Mungu na ni lazima Tufanye mrejesho kwake kwa kuzishika,kuzifwata na kuziishi Sheria na Kanuni zake.
Huoni kama upo nje ya mstari?
 
Back
Top Bottom