Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,617
- 860,790
- Thread starter
- #101
Ni vipi wewe uliamua kujifunza elimu hiyo angali unajua sote tumeumbwa na Mungu na ni lazima Tufanye mrejesho kwake kwa kuzishika,kuzifwata na kuziishi Sheria na Kanuni zake.
Huoni kama upo nje ya mstari?
Hapana katika ni maisha ni lazima ujue kila ukifanyacho lakini kuwa makini sana usifanye kila ukijuacho
Usiunyime ufahahamu wako elimu kwakuwa elimu haina mwisho lakini mwisho wa siku angalia ni kipi cha manufaa kwako na hakina madhara kwako na kwa wengine hiki kifuate