Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

Ukiweza soma online halafu kila weekend twende field msata na bagamoyo

ngoja nijipange. Lengo ni kupata elimu tu na kujua kipi kinafanyika huko. Nimependa sana ule mtaala wa magical transportation na vitisho.
sasa why field iwe msata na sio makabe, Mabibo au kwingineko?
 
ngoja nijipange. Lengo ni kupata elimu tu na kujua kipi kinafanyika huko. Nimependa sana ule mtaala wa magical transportation na vitisho.
sasa why field iwe msata na sio makabe, Mabibo au kwingineko?

Kila kitu na mahali pake huwezi kupeleka boat makabe wakati hakuna bahari mto wala ziwa
 
Mbona wenye ghamboshi yao wanapinga kuwa ghamboshi c chimbuko la uchawi,

Hata wachawi wenyewe hakuna hata siku moja mchawi akakiri kuwa yeye ni mchawi.. Ukikuta wa hivyo ujue changalamacho
 
Mshana Jr nashindwa kukuelewa una mtazamo gani kuhusu uchawi na wachawi je ni watu wazuli ktkr jamii au ungetamani waache siku moja na kuokoka?
Je uchawi ni mzuri au ni mbaya?
Mtazamo na maoni yako tafadhari.

Mkuu....ingawa umemuuliza mshana jr kwangu mimi napenda hizi stori sababu ukijua mambo km haya itakusaidia kujua aina ya Maisha unayoishi sababu kuna maeneo watu wanakwama hawajui namna yakutoka ndio maana waganga wakienyeji wanawapiga sana Hela na wengine wanatapeli tu mimi nimhanga wa wakurogwa so naitafuta sana hii Elimu lengo sio kuwa Mchawi bt kuujua Ulimwengu huo wakichawi.....Naona humu huyu jamaa anaopoleta hizi mada kuna watu wanakasilika lkn kwetu sisi wengine tunapensa kujifunza
 
Last edited by a moderator:
Tuition fee na gharama nyengine zikoje?,Hivi vyuo vingekuwa vinatoa scholarships wangekwenda wengi
 
mkuu mshana hizo symbol za vitu ulivyovileta vinafanana kabisa na hivyo picha nilizo post hasa hiyo bendera ya nchi ya ISRAEL ndio kabisa unataka kuniambia uchawi ulianzia israel maana wao ndo pekee bendera yao ipo kama hizo symbol za kichawi ulizoweka hapo

Kwa Israel hiyo ni star of David na haina uhusiano na uchawi
 
Mkuu mshana jr na wengine wenye ufahamu wa haya mambo ya uchawi hivi kuna uhusiano gani wa Mchawi kukuroga upande mzima wa Kushoto...natamani kujua hili sababu nilipokuwa nataabishwa na wachawi ninapofanya Maombi kuyatoa nilikuwa nakuta ni upande huo tu mmoja iliokuwa unabeba hizo photom nataka kujua umuhimu wa upande huo na uchawi
 
Anachagua upande ulio dhaifu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom