Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

Tanzania kuna University moja tu wenyewe mnaijua,nyingine zote ni kama twisheni.

Tena hili la msingi sana, na hasa kuwaambia maprofessa wa pale mlimani kwamba wanabana sana marks bado wanamawazo yale ya mwaka 47.... Nilichogundua baada ya kutoka mlimani kuwa kuna vitu nimelost kwa sasa hata mdogo wangu sitamshawishi kwenda kusoma pale...asikudanganye mtu kama alivyosema Pele kwenye soka mpira magori hata elimu ni hivyo hivyo shule ni GPA. Unasoma mlimani wanakupa KajiGPA ka 3.0 ukiwa na bahati, ukija mataani watu wanataka GPA ya 3.5....ambayo inapatikana kiulaini tu hapo Zanzibar, IFM au Sauti...ikitokea nafasi ya scholarship watu wanaangalia GPA unashangaa vijana wa Zanzibar university kila siku wanapata scholarship wewe uliyeenyeka chini ya Mti na GPA yako ya 3...unapigwa chini....Sina nia mbaya na watu IFM lakini ukweli upo wazi ukienda wizara nyeti zote ndiyo waliojaa huku, simply walimaliza na GPA kubwa ingawa matokeo yao ya sekondary yalikuwa mabovu. Wale walifanya vizuri sekondary wakaenda mlimani wanaminywa wanatoka na vijiGPA vya 2. Kuna nia kabisa ya kufikiria waajiri wetu tena hawa wa Tanzania kujuwa hili kuwa mlimani elimu yake ipo juu lakini waalimu wanawalostisha wanafunzi kwa kupana matokeo. Ninahakika kabisa mtu akitoka na GPA ya 3.5 mlimani juwa vyuo vingine na Ulaya ni first class!!!
Kaka usiofu, wewe nenda fanya interview!!!

SAUT kina jina kubwa tu kama kua na jina unamaanisha kufahamika,kuhusu swala la waajiri kuangalia chuo gani umetokea hiyo inaukweli ndani yake hasa kwa private sector/institutions.in general competence ya mtu,confidence,kujieleza na academic perfomance .ukiwa na hivi vigezo unanafasi kubwa ya kupata ajira.dont give up maisha ni foleni zamu yako inakuja

kuna rafiki yangu alichaguliwa kwenda UDOM,Akamwaga bibi yake akamwmbia bibi mie naenda kusoma UDOM,bibi yake akamwambia 'jitahidi mjukuu wangu usome mpaka ufike chuo kikuu cha daslam'. .

Mtu akisema anasoma Chuo kikuu,
haitaji hata kukitaja kwa jina. moja kwa moja amakuwa anamaanisha UDSM
Nafikiri Tanzania stili tuna chuo kikuu kimoja tu!
akili za ccm bhana.. mwe..wewe lazima utakuwa unafanya kazi kwenye hii wizara,sasa hivi tunaona matunda ya kuajiriwa kwa vimemo

PICHA+NA+2.jpg

Hahah Saint.
Mi nipo kabisa against huyu mshkaji! Nilikuwa simkubali kabisa!

akili za ccm bhana.. mwe..wewe lazima utakuwa unafanya kazi kwenye hii wizara,sasa hivi tunaona matunda ya kuajiriwa kwa vimemo

udsm hakuna k2,mayb pale coet ndo panawabeba sa hz,ila huko kwngne hapana tofaut na vyuo vingne.

it matters a lot, wakati unasoma try to find chuo ambacho ili kimataifa hata degree yako itambulike icho chuo kinabidi kiwe ''accredited" check kwenye mtandao kuona vyuo vya kitanzania ambavyo viko accredited at least una stand a chance na degree yako ina sound kiidogo! ndio maana ukioka nje na degree yako hatuna njia ya kupima ubora wa cheti chako zaidi ya kuchek kama kiko accredited au la! kama sio accredited hata kimataifa degree yako inaonekana kama toilet pepa tu!

kuna rafiki yangu alichaguliwa kwenda UDOM,Akamwaga bibi yake akamwmbia bibi mie naenda kusoma UDOM,bibi yake akamwambia 'jitahidi mjukuu wangu usome mpaka ufike chuo kikuu cha daslam'. .

Khaa! Jamani acha kuvunja vijibavu vyetu mkuu.

udsm hakuna k2,mayb pale coet ndo panawabeba sa hz,ila huko kwngne hapana tofaut na vyuo vingne.

ww ni kilaza wa mwisho al da cream of da nation 2nakwenda pale, coet iz da part f udsm mama ww,,, bila division 1 zilizosimama hupeleki pua yako pale....ww unapatamani kw kuw nikilaza utapasikia tu...hebu angalia nchi hii inaungurumishwa na watu gani...take care dogo...

acha uchizi wewe,me mwenyewe nko udsm,na ninajua kila k2 kilvo,hata dv 3 zpo nyng 2,we elewa 2 kwamba,hakuna tofaut kat ya udsm na vyuo vngne,nadhan we unaongelea udsm ya miaka ya 1980 na co ya sasa mkuu!!udsm 2mekwisha kabisaa.

elimu pipa mafanikio kisoda.....gonga chuo chochote uelimike upige mitkasi upate shekeli!

ww ni kilaza wa mwisho al da cream of da nation 2nakwenda pale, coet iz da part f udsm mama ww,,, bila division 1 zilizosimama hupeleki pua yako pale....ww unapatamani kw kuw nikilaza utapasikia tu...hebu angalia nchi hii inaungurumishwa na watu gani...take care dogo...

acheni ujinga nyie,eti cream,unaijua cream wewe?hata rais wetu nae katokea hapo nae ni cream kwa kumuangalia? Msiongee upupu bwana,mnajiona malaika eeeh

Tena hili la msingi sana, na hasa kuwaambia maprofessa wa pale mlimani kwamba wanabana sana marks bado wanamawazo yale ya mwaka 47.... Nilichogundua baada ya kutoka mlimani kuwa kuna vitu nimelost kwa sasa hata mdogo wangu sitamshawishi kwenda kusoma pale...asikudanganye mtu kama alivyosema Pele kwenye soka mpira magori hata elimu ni hivyo hivyo shule ni GPA. Unasoma mlimani wanakupa KajiGPA ka 3.0 ukiwa na bahati, ukija mataani watu wanataka GPA ya 3.5....ambayo inapatikana kiulaini tu hapo Zanzibar, IFM au Sauti...ikitokea nafasi ya scholarship watu wanaangalia GPA unashangaa vijana wa Zanzibar university kila siku wanapata scholarship wewe uliyeenyeka chini ya Mti na GPA yako ya 3...unapigwa chini....Sina nia mbaya na watu IFM lakini ukweli upo wazi ukienda wizara nyeti zote ndiyo waliojaa huku, simply walimaliza na GPA kubwa ingawa matokeo yao ya sekondary yalikuwa mabovu. Wale walifanya vizuri sekondary wakaenda mlimani wanaminywa wanatoka na vijiGPA vya 2. Kuna nia kabisa ya kufikiria waajiri wetu tena hawa wa Tanzania kujuwa hili kuwa mlimani elimu yake ipo juu lakini waalimu wanawalostisha wanafunzi kwa kupana matokeo. Ninahakika kabisa mtu akitoka na GPA ya 3.5 mlimani juwa vyuo vingine na Ulaya ni first class!!!
Kaka usiofu, wewe nenda fanya interview!!!

SEHEMU zingine 3.5 ingeweza kuwa first class lakini sio SUA!

ww ni kilaza wa mwisho al da cream of da nation 2nakwenda pale, coet iz da part f udsm mama ww,,, bila division 1 zilizosimama hupeleki pua yako pale....ww unapatamani kw kuw nikilaza utapasikia tu...hebu angalia nchi hii inaungurumishwa na watu gani...take care dogo...

Mtu aliyepata div One ya feki utamjua tu!!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom