Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

spike

Senior Member
Jan 8, 2011
112
15
Wakuu naomba mnijuze, hivi katika swala la kuajiri chuo ulicho soma ni moja ya kigezo, mfano udom nasikia watawapa kipaumbele wale walio soma vyuo vya serikali na vyenye majina. Hio imekaaje huko maofisini? hivi SAUT kinajina? Nawakirisha hoja
 
kinaitwa SAUT,...au unataka jina gani?...acha uoga kijana soma
 
Hakuna kitu kama icho..mwisho wa siku je una referee ndio ana matter..
 
Jina la chuo si hoja cha msingi ni material yanapanda? Unaweza soma chuo chenye jina lakini ukatoka na empty set(null).Sema interview zetu nyingi hasa serikalini hazipimi utendaji bali zinaangalia vyuo na personality ndio maana nchi imedumaa kwa kuwa na wafanyakazi wengi mbumbumbu.
 
Na we nani alikuambia ukasome huko ka ulikua hupaamin amin?
 
Kijana, usibabaishwe na hao wenye mawazo mafupi wanaotaka Tanzania iendelee kuwa na vyuo vikuu 3. Kamua kitabu chuo chochote ili mradi TCU wanakitambua. Tumewaona wengi sana wanaotoka kwenye hivyo vinavyo abudiwa, wakati wa interview ni matatizo matupu. English ya kuunga, kilichoko kichwani hakifanani na vyeti alivyoshikilia mkononi!!!
 
Labda kabla cjakujibu niulize kidogo! if u whr an employer na watu wa 2 wameapply wenye sifa sawa unazo zitaka na mmoja amesoma chuo ulicho soma na mwingine chuo tofauti,je ungemchuka yupi kati yao? tafakari!
 
Vinamater sana mkuu asikudanganye mtu, waajiri wanabagua tena sana kutegemea na chuo.
 
hbu nikitoa hoja ntaonekana mbaguzi ila cha msingi n i kua na mkono mrefu tu yaaani mshika kipyenga haijalishi umesoma waaapy
 
Ukweli ni kwamba vyuo vinamata. Nimeona sehem walihitaji accountants, wakachukua Mzumbe na IFM tu wakati applicants walikuwa wa vyuo vingi.
 
kwa freshers ukitoa serikalini huku kwingine wanaangalia sana taasisi uliyopitia ila kama una expirience mapito yako ndo yatakubeba hata kama una diploma.muajiri anaangalia kwa background yako utaweza kuisaidia kampuni?
 
serikali inachukua zaidi waliopitia vyuo vya umma,huo ndio ukweli mchungu.sekta binafsi ni ngumu sana ku define ila mtizamo unatofautiana kwa graduate fresh from school na wenye uzoefu kama nilivyosema hapo juu.
 
umeisha,,, unasoma kile chuo cha dadapoa (machangudoa),,,,,,kwishinei.............
 
Labda kabla cjakujibu niulize kidogo! if u whr an employer na watu wa 2 wameapply wenye sifa sawa unazo zitaka na mmoja amesoma chuo ulicho soma na mwingine chuo tofauti,je ungemchuka yupi kati yao? tafakari!
<br />
<br />
nitafukunyua mpaka nijue ni yupi mwenye sifa za ziada ndio nitamchukua. Najua hawawezi kuwa sawa kila kitu.
 
Back
Top Bottom