Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

Chuo ni kimoja tu,
1.UDSM - CoICT
2.UDSM - CoICT
3.UDSM - CoICT

Hivyo vingine ni vituo vya kujifunzia computer! Sio vyuo! CoICT utafundishwa na maprofessor na manguli wa ICT na exposure ni kubwa mno! Practicals za kutosha! EPUKA MATAPELI
Sasa kwenye hizo ICT na cyber competitions mbn mnashindwa na UDOM kila siku na hao maprofessor?
 
Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni tu. UDOM kwenye Issue ya ICT mpeni maua yake tu. Na proof katuonyesha tayari kwa kushinda mashindano mbalimbali.

Wasomi uwa tunaongea kwa facts sio kushadadia mambo kwa kukariri.

Sidhani kama kuna chuo chochote ambacho hakina vigezo ila kila chuo kimeamua kutia nguvu na kujitofautisha na wenzie katika course fulani.

Ila kwa ambao washawahi fika udom tena wakaingia computer lab CIVE watakua mashahidi. Aisee jamaa wamejipanga kwa vifaa vya kisasa. Enzi za uanachuo wangu .....kuna baadhi ya coz nilikua na opt college ya info(CIVE)....coz nilikua nasoma Education upande wa ICT.

Alafu walimu wao vijana na wako peace balaa, nahisi chuo kitakua kinachukua cream ya wakufunzi walioko fit katika ICT ndo maana hata matokeo yanaonekana kwa haraka.
 
Sio poa wana balaaa
 
itposterHD.jpeg
 
We mada yako unataka ufundi au nini.
Siku hizi hata unaweza usiwe rubani ukaweza kutumia emulator.
Mfano siku hizi unaweza app nyingi ambazo zimekuwa emulator kufanya kama hupo kwenye zoezi.
Hupo dunia ya ngapi kijana.
Daaah nimecheka sana mkuu 😂 😂
 
Back
Top Bottom