Tanzanian kid
Member
- Apr 1, 2025
- 98
- 168
- Thread starter
- #61
Kwa sasa bado naendelea na masomo japo nimejiajiri kwa ishu kama graphic designer, computer repair,maintenance and trouble shooting pia Web designUmeshapata ajira..!?

Chuo hamna kitu ni kupoteza fedha hasa kwa mtu asiyehitaji ajira au cheti ukiwa unasoma kwaajili ya project yako ni vyema upige online au tafuta mentorUnaweza soma chuo na ukapiga online. Kama unaweza sukuma mkokoteni na ukasoma online, kwanini usiweze kusoma chuo na ukasoma online?
Kaka sidhani kama kuna mtu hana mpango na ajira labda ambae anajitosheleza mfano mie nategesha kote kote kuajiriwa au kujiajiri lakini napenda sana kujiajiri kama mambo yataenda vyema kuna vitu vinanifanya nipende kujiajiri zaidiChuo hamna kitu ni kupoteza fedha hasa kwa mtu asiyehitaji ajira au cheti ukiwa unasoma kwaajili ya project yako ni vyema upige online au tafuta mentor
Aah hii mpya kwangu nilijua wanatoa certificates za short courses pekee.Kipo chini ya TCU kinatoa degree za kozi NNE tu it, is, na engineering za uko kweny makompyuta
Taja alumni wa Unique Academy na mafanikio yao, wamefanya nini au wana nafasi zipi kwenye ngazi za juu private & public sector.unique academy university ni chuo kikuu KIPO chini ya TCU kinapatikana UPANGA dar es salaam kwahyo punguza Ujuaji kaka
Nilikua nakifahamu kwa jina ila nimekisearch nakutakana na kozi nzuri tu za maana wanatoa inaonekana ni kizuri yani HAWAVUMI LAKINI WAMO hahahaAah hii mpya kwangu nilijua wanatoa certificates za short courses pekee.
Hapo wanasoma wengi waarabu na wahindi ada zake zmechangamka wengi wanaona wakosome SUA udom na udsm maana ukijumlisha ada ambayo ni Milion 2.5 Pia Kuna direct cost kama 1 Milion utapata jumla 3.5milion, ambayo ukienda udom SUA na udsm haifk 1.5 Kwa koz za it au isTaja alumni wa Unique Academy na mafanikio yao, wamefanya nini au wana nafasi zipi kwenye ngazi za juu private & public sector.
Duh apo parefu ndio maana nimeona watu wa nchi za nje kwa wingiHapo wanasoma wengi waarabu na wahindi ada zake zmechangamka wengi wanaona wakosome SUA udom na udsm maana ukijumlisha ada ambayo ni Milion 2.5 Pia Kuna direct cost kama 1 Milion utapata jumla 3.5milion, ambayo ukienda udom SUA na udsm haifk 1.5 Kwa koz za it au is
Sasa hutaki kuajiriwa chuo unaenda kufanya nini unatafuta cheti cha nini kwanini usifocus tu kwenye skills unayohitaji directKaka sidhani kama kuna mtu hana mpango na ajira labda ambae anajitosheleza mfano mie nategesha kote kote kuajiriwa au kujiajiri lakini napenda sana kujiajiri kama mambo yataenda vyema kuna vitu vinanifanya nipende kujiajiri zaidi
Comment yangu umeisomq vizuri kaka? Mie nimeenda chuo kuchota elimu nikipata hiyo elimu mengine yatafuata kuhusu kuajiriwa au kijiajiri lakini lengo langu hasa kujiajiri baada ya kuchota hiyo elimu chuoniSasa hutaki kuajiriwa chuo unaenda kufanya nini unatafuta cheti cha nini kwanini usifocus tu kwenye skills unayohitaji direct
Cheti kitanisaidia muda wake ukifika pia kuhusu skills mie naamini mtu anayesoma chuoni ana maarifa mengi kuliko anaesoma tutorial za youtube pia kusoma online kama izo tutorial kunahitaji angalau uwe na msingi wa unachokisomaSasa hutaki kuajiriwa chuo unaenda kufanya nini unatafuta cheti cha nini kwanini usifocus tu kwenye skills unayohitaji direct
3.5M ni peanuts kwa wabongo kadhaa. Mbona MD private vinajaa na wanasoma miaka mitano.Hapo wanasoma wengi waarabu na wahindi ada zake zmechangamka wengi wanaona wakosome SUA udom na udsm maana ukijumlisha ada ambayo ni Milion 2.5 Pia Kuna direct cost kama 1 Milion utapata jumla 3.5milion, ambayo ukienda udom SUA na udsm haifk 1.5 Kwa koz za it au is
𝐒𝐭 𝐣𝐨𝐡𝐧 𝐮𝐧𝐢𝐯𝐞𝐫𝐬𝐢𝐭𝐲 𝐨𝐟 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐮𝐨 𝐁𝐨𝐫𝐚 𝐒𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐈𝐓1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi?
2/
Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa wanafunzi moja kwa moja kwenda kazini au kuanzisha miradi yao ya tech.
3/
Mimi binafsi nimesoma Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Ingawa sio chuo cha IT kwa jina, kina programs za ICT.
Lakini cha kushangaza — nimekuwa nikiona wanafunzi wa UDOM mara kadhaa wakifanya vizuri sana kwenye mashindano ya Cyber Security.
4/
Uzoefu huu umenifanya kujiuliza:
Je, UDOM ndio chuo bora kwa IT kwa sasa Tanzania?
Au kuna vyuo vingine kama DIT, IFM, UoI, UDSM, TIA, CIVE, CBE ambavyo vinafanya vizuri upande wa practical?
5/
Ningependa kusikia kutoka kwa watu waliopitia vyuo hivi au wanaofundisha sekta ya IT:
Ni chuo gani kimekupa practical skills za kweli?
Na unakipendekeza kwa vijana wanaotaka kuingia kwenye sekta ya teknolojia?
6/
Tafadhali changia kwa maoni yako au tag mtu ambaye anaweza kuwa na uzoefu wa kutusaidia kwenye mjadala huu..
#Thread #ITinTanzania #VyuoVikuu #CyberSecurity #TechTZ
Hiyo point namba 4: Nini tofauti ya UDOM na CIVE unapoongelea upande wa ICT? CIVE ndiyo college ya mabo ya ICT ya UDOM1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi?
2/
Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa wanafunzi moja kwa moja kwenda kazini au kuanzisha miradi yao ya tech.
3/
Mimi binafsi nimesoma Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Ingawa sio chuo cha IT kwa jina, kina programs za ICT.
Lakini cha kushangaza — nimekuwa nikiona wanafunzi wa UDOM mara kadhaa wakifanya vizuri sana kwenye mashindano ya Cyber Security.
4/
Uzoefu huu umenifanya kujiuliza:
Je, UDOM ndio chuo bora kwa IT kwa sasa Tanzania?
Au kuna vyuo vingine kama DIT, IFM, UoI, UDSM, TIA, CIVE, CBE ambavyo vinafanya vizuri upande wa practical?
5/
Ningependa kusikia kutoka kwa watu waliopitia vyuo hivi au wanaofundisha sekta ya IT:
Ni chuo gani kimekupa practical skills za kweli?
Na unakipendekeza kwa vijana wanaotaka kuingia kwenye sekta ya teknolojia?
6/
Tafadhali changia kwa maoni yako au tag mtu ambaye anaweza kuwa na uzoefu wa kutusaidia kwenye mjadala huu..
#Thread #ITinTanzania #VyuoVikuu #CyberSecurity #TechTZ
MD ni koz pendwa, uwez weka human resource million 4 ukategemea utapata wateja hasa Tanzania, Kuna uwez unafikiria kabla ujaongea ww ni MTU mzima uwezo WA kuchanganua Mambo uendane na umri wako kaka lasvo n aibu hii3.5M ni peanuts kwa wabongo kadhaa. Mbona MD private vinajaa na wanasoma miaka mitano.
UDOM kwenye mashindano ya Cyber Security unawaona wanafanya vizuri sababu wanashindanishwa na watu wasiojua sana1/
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina:
Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi?
2/
Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa wanafunzi moja kwa moja kwenda kazini au kuanzisha miradi yao ya tech.
3/
Mimi binafsi nimesoma Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA). Ingawa sio chuo cha IT kwa jina, kina programs za ICT.
Lakini cha kushangaza — nimekuwa nikiona wanafunzi wa UDOM mara kadhaa wakifanya vizuri sana kwenye mashindano ya Cyber Security.
4/
Uzoefu huu umenifanya kujiuliza:
Je, UDOM ndio chuo bora kwa IT kwa sasa Tanzania?
Au kuna vyuo vingine kama DIT, IFM, UoI, UDSM, TIA, CIVE, CBE ambavyo vinafanya vizuri upande wa practical?
5/
Ningependa kusikia kutoka kwa watu waliopitia vyuo hivi au wanaofundisha sekta ya IT:
Ni chuo gani kimekupa practical skills za kweli?
Na unakipendekeza kwa vijana wanaotaka kuingia kwenye sekta ya teknolojia?
6/
Tafadhali changia kwa maoni yako au tag mtu ambaye anaweza kuwa na uzoefu wa kutusaidia kwenye mjadala huu..
#Thread #ITinTanzania #VyuoVikuu #CyberSecurity #TechTZ
kenya shikamoo hadi hizi nyuzi zimeletwa hakuna rangi watu wameacha kuona1/

Huenda na hili pia likachangia kwa kiasi fulani,unahisi chuo gani katika IT wao ni wazuri zaidi kuliko wengineUDOM kwenye mashindano ya Cyber Security unawaona wanafanya vizuri sababu wanashindanishwa na watu wasiojua sana
Kwa hiyo hao vijana wanne wa UDOM huko China wanaenda kushindanishwa na vilaza wenzio wa China na mataifa mengine sio? Kuna wakati tupunguze dharau wakuu..UDOM kwenye mashindano ya Cyber Security unawaona wanafanya vizuri sababu wanashindanishwa na watu wasiojua sana