Hivo vyuo ndo vina programu za shahada za degree. Hivyo vi kozi kozi vya SUA ndani ya degree mama ni takatakaHahaha kwanini uchafu?
Hahahaha alaa ahya bhana.We mada yako unataka ufundi au nini.
Siku hizi hata unaweza usiwe rubani ukaweza kutumia emulator.
Mfano siku hizi unaweza app nyingi ambazo zimekuwa emulator kufanya kama hupo kwenye zoezi.
Hupo dunia ya ngapi kijana.
Hiki nakifahamu kwa jina lakini sijawahi kuona au kusikia kama imefanya jambo kubwa la IT mfano katika mashindano ya IT n.k vipi waweza kunijuza kidogoChuo kwa upande wa IT na information security ni UNIQUE ACADEMY TU UPANGA Kwa ngazi ya degree huko kwingne UDOM, UDSM SUA MUST ni TAKATAKA hakuna lolote wanalolijua zaid ya kukariri madesa
Siku hizi unaweza kutengeneza circuit,injini,nyumba,kemikali na n.kHahahaha alaa ahya bhana.
Ahya kaka nimekupata point yako.Siku hizi unaweza kutengeneza circuit,injini,nyumba,kemikali na n.k
Kwa emulator ukiona zinafaa data zako ndio unapoingia kufanya labda ukosehe wewe kiutendaji
Kifatilie kinamilikiwa na wahind kama sjakosea wao wanafanya Kwa vitendo Zaid kuliko hivyo vyuo vya SERIKALI sema watu weng sio wafatiliaji wa mambo ata ada apo imechangamkaHiki nakifahamu kwa jina lakini sijawahi kuona au kusikia kama imefanya jambo kubwa la IT mfano katika mashindano ya IT n.k vipi waweza kunijuza kidogo
Hahaha huenda na ada ikachangia ngoja niingie Google muda huu kukifatiliaKifatilie kinamilikiwa na wahind kama sjakosea wao wanafanya Kwa vitendo Zaid kuliko hivyo vyuo vya SERIKALI sema watu weng sio wafatiliaji wa mambo ata ada apo imechangamka
Kwanini kaka wapo vizuri,inaonesha kuna sababu imepelekea kusema ivi iyo sababu mie ndio naitaka kaka kama hutojali ata kwa maelezo machache.Hata IFM wapo vizuri
Unique Academy inatoa mafunzo yenye vyeti vinavyotambulika kimataifa kama vile Certified Ethical Hacker (CEH), Certified Network Defender (CND), na Certified Information Systems Auditor (CISA), ambayo yanawaandaa wanafunzi kwa changamoto halisi za kazi katika sekta ya teknolojiaHiki nakifahamu kwa jina lakini sijawahi kuona au kusikia kama imefanya jambo kubwa la IT mfano katika mashindano ya IT n.k vipi waweza kunijuza kidogo
YouTube ilinipa ujuzi nikapata ajira tamuWe mada yako unataka ufundi au nini.
Siku hizi hata unaweza usiwe rubani ukaweza kutumia emulator.
Mfano siku hizi unaweza app nyingi ambazo zimekuwa emulator kufanya kama hupo kwenye zoezi.
Hupo dunia ya ngapi kijana.
Kuna watu bado wanadharau online learning. Lakini mimi binafsi naona ndio mkombozi kwa sasa.Unique Academy inatoa mafunzo yenye vyeti vinavyotambulika kimataifa kama vile Certified Ethical Hacker (CEH), Certified Network Defender (CND), na Certified Information Systems Auditor (CISA), ambayo yanawaandaa wanafunzi kwa changamoto halisi za kazi katika sekta ya teknolojia
Ukitaka madesa na tafiti nenda SUA udom na udsm uko wamebobea kweny porojo Lakn ukitaka vitendo nenda unique academy university, unaweza ukagoogle au HATA muulize DEEPSEEK
Kabsa kaka hichi chuo nilipata nafas Lakn nikaenda kweny ualimu ada ilikua changamoto kidogo nilipata kozi ya information security nikaenda kusoma ualimu, lkn Hawa jamaa ni kiboko na wanaosoma hapo wengi waarabu na wahindKuna watu bado wanadharau online learning. Lakini mimi binafsi naona ndio mkombozi kwa sasa.
Hapa home hakuna ujuzi wa aina nyingi sio vyuoni sio mtaa. Lakini kupitia IT ujuzi unasambaa.
Huko online eg Unique Academy kuna manguli kuliko Professors wa Ud.
Nimetoka muda huu Google na chatgpt japo sijafanikiwa kuona ada yake kwa mwaka maana bado hawajatoaUnique Academy inatoa mafunzo yenye vyeti vinavyotambulika kimataifa kama vile Certified Ethical Hacker (CEH), Certified Network Defender (CND), na Certified Information Systems Auditor (CISA), ambayo yanawaandaa wanafunzi kwa changamoto halisi za kazi katika sekta ya teknolojia
Ukitaka madesa na tafiti nenda SUA udom na udsm uko wamebobea kweny porojo Lakn ukitaka vitendo nenda unique academy university, unaweza ukagoogle au HATA muulize DEEPSEEK
Ada yao vipi maana sijafanikiwa kuona ada yao ngazi ya degreeKuna watu bado wanadharau online learning. Lakini mimi binafsi naona ndio mkombozi kwa sasa.
Hapa home hakuna ujuzi wa aina nyingi sio vyuoni sio mtaa. Lakini kupitia IT ujuzi unasambaa.
Huko online eg Unique Academy kuna manguli kuliko Professors wa Ud.
Nimeona watu toka nje pia lakini sijajua ada yao vipiKabsa kaka hichi chuo nilipata nafas Lakn nikaenda kweny ualimu ada ilikua changamoto kidogo nilipata kozi ya information security nikaenda kusoma ualimu, lkn Hawa jamaa ni kiboko na wanaosoma hapo wengi waarabu na wahind
UDOM ndio sehemu pekee mwanafunzi ana uhuru na computer muda wowote anaojisikia mpaka usiku. Watu wana projects wanaziendeshea computer lab na WiFi ina speed.Pale SUA computer labs zipo sema changamoto sana baadhi ya computer hazifanyi kazi pia muda mwingine hakuna kuingia youtube yani kuna sheria flani ivi zipo
Hahaha duh wifi za sua kuna muda unakuta no Internet hii pia ni changamotoUDOM ndio sehemu pekee mwanafunzi ana uhuru na computer muda wowote anaojisikia mpaka usiku. Watu wana projects wanaziendeshea computer lab na WiFi ina speed.