T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,856
- 46,951
Mtu anayesoma chuo ana uwezo mzuri wa kusoma hiyo Unique Academy na akakuzidi wewe wa mtaani.Chuo kwa upande wa IT na information security ni UNIQUE ACADEMY TU UPANGA Kwa ngazi ya degree huko kwingne UDOM, UDSM SUA MUST ni TAKATAKA hakuna lolote wanalolijua zaid ya kukariri madesa
Wakati nipo chuo wanangu kadhaa walipiga hizo Udemy, Unique Academy, certificates za Microsoft na mmoja alipata cheti cha Huawei ndio kilimpa kazi.
Huwa inanichekesha raia mwenye watoto, mke na familia anayejifanya anaweza kusoma online kumzidi mwanachuo serious ambaye full time yeye ana kazi ya kusoma.
Nenda na Unique Academy yako ukapatie kazi.