Acid kuzidi mwilini

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,506
14,369
Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya “Purine” ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana kama “Uric Acid”.

Katika mwili wa binadamu, kiwango ambacho ni cha kawaida mtu kuwa nacho ni 2.4-6.0 mg/dL (kwa mwanamke) na 3.4-7.0 mg/dL (kwa mwanamme). Kiwango cha uric acid mwilini hupimwa kwa kutumia njia ya damu.

Kiwango hiki endapo kitazidi mwilini kitasababisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili ambayo ni maungio ya mifupa/jointi.

Katika maungio ya mifupa au jointi, mtu atapatwa na maumivu makali, kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa kama kumepinda. Hali hii kitaalamu au ugonjwa hujulikana kama “Gout”.

Pia kuzidi kwa kiwango cha uric acid mwilini kinaweza kuwa ni dalili ya magojwa kama vile magonjwa ya ini, figo pamoja na saratani. Mwilini kemikali hii ya asilia hutolewa kupitia njia ya mkojo kama urea, tofauti na wanyama wengine au ndege ambao wao kemikali hii hutolewa kupitia kinyesi na wakati mwingine imekuwa na muonekano kama chokaa na kuchanganyika na kinyesi mfano cha kuku.

Upatikanaji wa uric acid mwilini ni kupitia ulaji wa vyakula kama vile maharagwe yaliyokaushwa, maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini au seafood (sardines pamoja na tuna). Pamoja na vyakula, pia uric acid mwilini hupatikana baada ya matokeo ya seli hai za mwili kuvunjika (seli kufa na kutengeneza purine ambazo nazo huvunjika na kutengeneza Uric Acid).

Kwa kuwa kiwango kikubwa cha uric acid kinasababisha matatizo ya kiafya, ni vyema kufahamu ni namna gani ambavyo mtu anaweza kuenenda ili kuhakikisha kuwa kiwango cha uric acid katika mwili kinakuwa siyo cha kuweza kusababisha matatizo ya kiafya.

Miongoni mwa njia za kutumia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilii ni kuepuka vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha “Purine” ambayo ndiyo hupelekea kupatikana kwa uric acid. Vyakula hivyo vya kuepuka ni pamoja na maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini kama vilivyotajwa hapo juu. Pia ni vyema kutumia vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha virutubisho pamoja na vitamin ambavyo kiafya vinasaidia katika kuondoa sumu mwilini.

Virutubisho na vitamini ambazo husaidia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilini ni pamoja na vitamin B6, Vitamin C, madini ya magnesium. Haya hupatikana katika matunda kama vile ndizi mbivu, machungwa, matikiti maji, maembe pamoja na mananasi. Pia juisi la limao katika mwili husaidia katika kutengeneza chumvi aina ya calcium carbonate ambayo husaidia kuyeyusha au (Neutralize) tindikali asilia mwilini (Uric acid).

Aidha, sambamba na ulaji wa vyakula hivyo kwa mtu ambaye tayari analo tatizo la kuwa na kiwango kikubwa cha uric acid mwilini (Baada ya vipimo vya kitaalamu), inashauriwa kutumia bidhaa ambazo hupunguza kuzalishwa kwa uric acid mwilini lakini pia kusaidia katika kuondoa maudhi na maumivu makali ambayo mtu huyapata katika jointi.

Ili miili yetu iweze kuendelea kufanya kazi vizuri, inashauriwa kufanya chunguzi za kitaalamu ili kuweza kubaini mapungufu yaliyopo mapema na hatimaye kuepukana nayo kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya.
 
Mziki wa gout siyo mchezo, hapa ongezea unapokula nyama jitahidi nyama ikaushwe vizuri na ule mbogamboga kwa wingi pia ndio dawa ya kupambana na uric acid.

Hizi pain killers kama Flama zinauzika sana siku hizi kwa sababu ya tatizo la uric acid.
 
Hii elimu ya kukariri ni mbaya sana. Yaani unakuta mtu anashukaaa lakini yooote kakariri tu kama huyu. Wakati ufike kila tunaposoma lolote au chochote tujadili na mwandishi na siyo kubabe ama kukubali kila kitu alichoandika. Hivyo vyakula ulivyotaja kusababisha uric acid watu wamekula enzi na enzi, karne na karne na hawakuwahi kuwa na hayo matatizo unayoyataja.

Tufikirie zaidi baada ya kusoma chapisho lolote. Tuhusianishe na uhalisia wa wazi wa maisha. Kuna kupigwa changa la macho hapa. Kuna kuambiwa chakula hiki hakifai kinaleta ugonjwa huu, kumbe ugonjwa huo haupo ama hauletwi na chakula hicho, bali unaletwa na madawa na sumu zinazopigwa kwenye mboga, matunda, n.k au unaletwa na chanjo n.k
Waliosoma Organic watakubaliana nami kuwa kuna Amino Acid tofauti kabisa na Uric Acid...matokeo ya Ini kutokufanya Protein metabolism ndo husababisha Amino acid kuwa juu na mwisho wa siku ukipima pH unakuta ni acidity badala ya normal ama alkalinity. Haya hata hatuyagusii, tunahangaika na vyakula. Hatutaki kabisa kujua ni kwa nini baadhi ya organ mwilini zinashindwa kufanya kazi. Hii dhana ya ugonjwa kusababishwa na adui kutoka nje badala ya organ kudhoofishwa natamani ife mara moja.

Tuwe tunafikiria zaidi.
 
Kiwango hiki endapo kitazidi mwilini kitasababisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili ambayo ni maungio ya mifupa/jointi
Kwa nini Uric acid iende kujikusanya kwenye joint ama mifupa mkuu ?

Kuna mahusiano gani kati ya joints na uric acid ?

Kwa nini joints ndio iwe sehemu ya kwanza kushambuliwa ilhali tunafahamu fika kwamba uric acid kwa kiasi kikubwa hutolewa na figo kwa njia ya mkojo ?

Tulitegemea kuona kiungo cha kwanza kuathirika ni figo kwa sababu ndio mlango wa uric acid kutoka nje,ila tunaona kwanza ni joints.

Je kwa nini figo na damu isiwe ndio kitu cha kwanza kushambuliwa badala yake huenda kwenye joint ?
 
HAYA MAMBO NI HATARI SANA.

ANDIKO LAKO LINA MAKOSA SANA.

TAFUTA KIINI CHA URIC ACID.

OTHERWISE UMEUONGOPEA UMA.
 
Back
Top Bottom