Vyoo vya kukaa vimenishinda

Pole sana mkuu! Binafsi ningetafuta chumba kingine, sitaki hivyo vyoo hata kiwe cha chumbani kwangu tu sikitaki. Mqmbo ya kurukiwa na maji ya kwenye sink am sorry bora nikachuchumae sio kutafutiana maradhi
Niko kwenye harakati za kuondoka tu mku
 
Hahahah mkuu wanasema LAKE MTU HALIMTAPISHI.
 
Duh sikuhizi vipo vya kukuosha kabisa unabonyeza kitufe tu maji yanakupiga dah hatari sana sana!
Vina wafaa waliyopo kwenye list ya Dudu baya
Hahaa maji yakiwa yanakulenga si utaanza kuzoea mkuu
 
Mkuu ungevumilia wiki hizo aisee ungevunja rekodinya genesis
 
mbona ishu ipo easy tu mkuu.chakufanya chukua tishu tano au hata sita.then zitumbukize kwenye sink.then kaa na uanze kushusha mzigo wako.kiukwel autorukiwa na maji hata kidogo.
Nitafanya hivyo hakika
 
Asante sana mkuuu
 
Mimi nashauri unapanda juu halafu unakaa kama nyani ndipo uanze kuvurumisha magogo,ila uwe macho usije teleza utavunja kiuno.
Wanaume wa mikoani bhana.!

Tabu yote ya nini _Unapanga tofali tu kozi mbili upande wa kulia na kushoto wa sinki mambo yanaenda

Unataka ukose mke eti kisa choo kweli..!
 
Choo cha kukaa ni shida kwa kweli.Ukitakanuone kuwa ni mtihani uwe umebanwa halafu kimba liwe gumu unaweza kusubiria kimba masaa.Lakini choo cha kuchutamaa hata kimba liwe gumu vipi litatoka tyuu.Kingine ni pale umeachia mzigo unasikia twaaapa! Maji yanakurudia tena.Acha niendelee na ushamba huu uzungu umenishinda
 
Vitu vidogo vinaonyesha level ya exposure ya mtu.
Ukienda Ulaya, utakunya wapi? Hakuna Asian toilets popote.
 
Tatizo sio aina ya choo.... Uustaarabu unahitajika kama maji yapo na toiletpaper vipo sioni tabu yeyote... Usafi ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…