donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 774
Makosa mawili haya halalishi kosa ilo liwe sawa. Hii ni Tanzania mpya, vizazi vyote vimeamka sanaa na ndio maana utaona ata Tigo watawapa wakina Mwana FA bilion 2, pili sisi hatujazungumza mambo ya copyrights and neighbouring rights, sisi tunataka hawa waone aibu, warudishe fadhila kwa yale wanayo yapata toka kwa mzee huyu, na ni ubinadamu wakawaida tu.
Mkuu post yangu haikuwa kwako usikurupuke nilimjibu mtu aliyetaka huo msemo uwe na copyright sasa tulia tu.
Na pia na we inakugusa tu,wewe ungekuwa mpenda kuboresha maisha ya watu kuna watu wengi wana dhiki sana kila idara changia hapa mawazo kiujumla yatakayosaidia wao kupata msaada,
Kuhusu waandishi wao wanafanya kazi hata wanapokuwa wanaripoti habari za DANGOTE lengo ni kupata wateja wengi sasa kosa silioni na hata nyie NIA yenu naona ni kutafuta kiki tu.
Sijasahau kuhusu FA na AY wao wana haki ya kudai nyimbo zao zilitumika bila wao kulipwa,
Sasa kama unajali wanyonge mafukara wa nchii hii esp wazee leta UZI WENYE MAWAZO MAZURI JINSI YA KUWASAIDIA KWA NAMNA YOYOTE ILE,