Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

Jamani mbona tunasahau ghafla hivi? Kwa mujibu WA maelezo take yeye mwenyewe ni raid na bilionea. Sass bilionea kama yule utampa bei gani?
 
Najipanga hapa nimtokee mzee nimwongopee mm ni ndugu yako alafu tujipange tuendelee kupiga mzigo mpaka tutoke.
 
Jamii Forum ina nguvu kubwa sanaaa, kwa kupitia uzi huu tayari wadau wengi kote nchini wameanza kulipigia kelele swala la vyombo vya habari na mashirika ya simu yanayomtumia mzee kumlipa chochote, na tayari baadhi ya makampuni yameanza kumdhamini mzee na hii itapelekea kuyaokoa maisha ya mzee huyu.

Wakuu mbarikiwe sanaa, uzi huu umekua na faida kubwa sanaaa kwa mzee wetu.

Jamii Forum ni mtandao uliotukuka.
 
2ec0dad92e29d617ede0e640db79528b.jpg

Mzee Shika tayari kesha tusua
 
Bora vyombo vya habari kazi yao ni kutafuta habari ,, Airtel wametembela nyota kabisa afu wana taka wana nchi nasisi tutumie mtandao wao.... si bora soka bet wali muhusisha Dr kabisa tunajua kapata chochote.. ila airtel mkitaka kupata kiki kubwa muiteni mze mpeni msada nchi nzima ita ongea airtel
 
November 20, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania

Imependeza: Dk Shika awapandisha kileleni Soka Bet kwa tangazo lake
Kampuni ya Soka Bet imekiri kuwa tangazo lake ambalo wamemtumia Dk Louis Shika limewapa umaarufu mkubwa kutokana na jinsi mzee huyo kutokea kuwa kipenzi cha watu

Source: SimulizaNaSauti
 
Tungeomba mawakili wasomi wamsaidie, kuna hawa Mawakili wanao wasaidia wasanii, kwanini wasimsaidie mzee kutafuta haki ya Brand yake hii mhimu ya 900itapendeza, nadhani ingemnufaisha sana Dk. Shika.
 
Yaani huyu jamaa, tokea ashindwe Kukamilisha malipo kwenye ule Mnada wa Nyumba za Lugumi, yaani sasa hivi kila kukicha ni Dr. Shika tu, Ukigeuka kushoto ni Shika,nenda kulia ni Shika, Angalia Kusini Ni Shika,nenda kaskazini ni Shika,. Mashariki, Magharibi ni Shika, looh!!, Tushachoka Fanyeni mambo mengine ya Msingi, mbona kuna Mambo mengi tu ya msingi na Sekondari!!, Kuna Changamoto nyingi Jamani ktk Jamii valieni njuga Hayo.
 
Ni dalili ya jamii iliyokosa matumaini katika mambo ya msingi.

Inatafuta vitu vya kuji distract.

Mara Babu wa Kikombe. Mara Dr. Shika. Na huyu akipita kitatafutwa kingine cha kuji distract tu.

Jamii yetu imekuwa kama mhanga wa madawa ya kulevya, bila ya kupata dozi mhanga hajisikii kuwa sawa.
 
vP mzigo wake umeshaingia mjini? maana alituambia will 48hrs baada ya kulipia bima. Nataka nikaombe kazi kwenye kampuni yake
 
vP mzigo wake umeshaingia mjini? maana alituambia will 48hrs baada ya kulipia bima. Nataka nikaombe kazi kwenye kampuni yake
Dah!!, Sidhani, km angelikuwa ameshatumiwa mkwanja Vyombo vya habari vingelitangaza.
 
Hujalazimishwa kusikiliza.
Pamoja na Hayo Mkuu, Wabongo tumezidi Sana,kaishu kadogo tu, yaani tunajadili Karne nzima, kila kukicha ni hicho hicho, Wakati kuna watu ktk jamii yetu wana matatizo lukuki, km vile Ukosefu wa maji, Umeme, Barabara, Huduma za Afya, Masoko kwa mazao ya kilimo, n. K. Sasa kwanini tupoteze muda kujadili ishu zisizo na faida?. Tubadilike.
 
Back
Top Bottom