Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

Nje ni wapi? Na nani anayeamua hii ni ya kushea na hii si kushea?

Halafu wewe uimara wa nchi unaupimaje?
Wenye mamlaka ndiyo wanaamua nini kitoke na nini kisitoke. Uimara wa nchi ni pale vyombo vya dola vinavyoweza kutetea amani na utulivu dhidi ya maadui wa nje na wa ndani
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Vyombo vya habari vya kimkakati hivyo vyenyewe vimezoea uchawa na udaku tu
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Vyombo vyote vinasaidiwa kufikiria na serikali!
Hamna kujiongeza!
 
Mainstream media vimedhibitiwa na TISIARAEI.

Msigwa anaandaa taarifa kisha anaituma kwenye media ili ziruushwe ,wakitoa taarifa tofauti wanakula BAN.
 
Tatizo kubwa ni fedha za kujiendesha na hawajaweza vizuri ku commercialize media houses.
Inabidi wawe machawa kama masheikh wakisubiri mgao wa brown envelopes.

Wasomi wa media wameshindwa kuja na.akili za kusaidia media kupata fedha. Njia mojawapo marehemu Ruge aliitengeneza very conventional ni kumtengeneza kijeba pembeni ya clouds kama Millard Ayo. Ili kuongeza revenue streams.

EFM nao wangetengeneza another Revenue stream kama ya Gospel n.k kuongeza mapato. Mtu kama Masanja.
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Ni upuuzi kufwatilia vyombo vya habari vya Tanzanie
 
Wenye mamlaka ndiyo wanaamua nini kitoke na nini kisitoke.
Kwako wewe wenye mamlaka hata wakiwa fyatu basi wanachoamua wao ni sahihi kwa kuwa tu wana mamlaka?
Uimara wa nchi ni pale vyombo vya dola vinavyoweza kutetea amani na utulivu dhidi ya maadui wa nje na wa ndani
Raia wakiuawa wasio na silaha au hatia inakuwa ni kutetea amani?

Wewe tafsiri yako ni nini kuhusu amani ya nchi?
 
Kwako wewe wenye mamlaka hata wakiwa fyatu basi wanachoamua wao ni sahihi kwa kuwa tu wana mamlaka?
Raia wakiuawa wasio na silaha au hatia inakuwa ni kutetea amani?

Wewe tafsiri yako ni nini kuhusu amani ya nchi?
Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
Screenshot_20251209_170637_X.jpg
 
Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania.

Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika.

Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna maandamano.

Hivi vyombo vyetu vya habari havikuona chochote kilichotokea kuanzia tarehe 29Oktoba na kuendelea?
Wewe na babako fungueni chombo chenu muwe mnatoa hizo taarifa. Acha kulilia watu
 
Back
Top Bottom