Vyama vya upinzani vyataka mchakato wa Katiba mpya uanzie pale ulipoishia kwenye BMK ili kuokoa fedha na muda

Sasa kama hili dogo tu limewashinda Chadema, ku-mobilize na kupata support kutoka kwa vyama vyengine vya upinzani juu ya agenda yao ya "katiba" mpya wataweza lipi??

Kuendesha serikali??

I strongly doubt it.
Serikari ipi mpaka mtu ashindwe kuiendesha? Hii ambayo hata panya anaweza kuwa kiongozi na akafanya vizuri zaidi ya watu
 
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!

Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.

Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK

Chanzo: Habari Leo

…….................................................
Hivi vindezi vya lumumba huwa vinaibukaga pindi ugali ukiwekwa mezani
 
Hahahaaa... CCM mbona katiba mpya inawapa kupagawa? Mara mvishe UVCCM t-shirt za CHADEMA eti wanakataa katiba mpya!! Kuna nini nyuma ya pazia. Hii katiba ya sasa mnafaidika nayo vipi? Of course, tunajua kila kitu.
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!

Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.

Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK

Chanzo: Habari Leo

…….................................................
 
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!

Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.

Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK

Chanzo: Habari Leo

…….................................................
hata katiba iliyopo sioni matumizi yake, heri viongozi wajiongoze wenyewe na familia zao, wakalime na kutafta maisha ka watu wengine,

wasitegemee kodi kutoka kwa wananchi, maana wamefanya kodi za watu kitega uchumi chao.
 
Kama wanapinga shinikizo la katiba ya vyama vya siasa ni sawa tu
Lakini hii ya jamuhuri watuache kidogo wao ni nani kwani

Vyama vyote vya siasa kwa pamoja sidhani kama wana wanachama wanaofikia milioni 25 hii nchi ina raia wangapi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Muunganiko wa Vyama 11, visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania umesema, havioni haja ya kuwepo shinikizo la Katiba mpya!

Kwa mujibu wa Vyama hivyo, muda sahihi ukifika, watataka mchakato uanze ilipoishia rasimu ya katiba Mpya.

Vyama hivyo Ni ; DP, NRA, NFP, Demokrasia Makini, VDP, ADC, ADA TADEA, SAU, Sauti Ya Umma, TLP na CCK

Chanzo: Habari Leo

…….................................................
Hapo hakuna chama cha siasa bali vibaraka wa dikteta wa sasa
 
Back
Top Bottom