Kwani ugali siyo chakula Cha ajabu? Vp Bei yake?Na vyakula vya ajabu ndio vyenye bei sana
Yani mm nje ya nchele, maharage, ugali, dagaa, ndizi, nyama (ng'ombe) vingine huwa sili kizembezembe
Turudi studio kwa matangazo😀
Sio vijiti vinaitwa "wulbash?Nilikula tambi zenye mayai katika jiji la Shanghai China, nilinenepa siku moja ingawa matumizi ya vijiti yalinitesa sana mpaka kidogo niwe nashika kwa mikono miwili. China wana very natural delicious food...
Ule utelez wa konokono unakuwa haupo?Nilipokuwa China nilifurahia sana supu ya nge na konokono
BIla shaka hii itakuwa chai.Hao wanakula hadi binadamu