Hahahaha... Ni kama mchemsho wa nyoka hauna tofauti na wa samakiNilibahatika kula chura aiseeeee ni mtamu balaaa halafu wala sikujua ila nilipokuja ambiwa ni chura nikajisemea tu kwa utamu ule siwezi acha kumla tena mpaka leo nimekua teja
Wajuba wanakula mpaka chura nyoka mbwa paka na matakataka yoteAsichokula Mchina hakiliwi dunia nzima.