Vyakula vya Kichina: Niulize chochote

Vyakula vya Kichina: Niulize chochote

FB_IMG_1759845577781.jpg
 
Wachina ni mojawapo wa mbari inayosifika duniani kwa ubunifu wa vyakula na mapishi.. Lakini pia ni watu wanaokula chochote chenye uhai kinachoonekana kwa macho
Kiwe aridhini
Kiwe angani
Kiwe majini
Walipitia kipindi cha msoto mkali wa baa la njaa na hii ikawafanya waweze kula chochote chenye uhai.. Lakini pia kuwa na uwezo wa kupika ladha anuwai kwa chakula kilekile
Mchina kila pishi anshakikisha linatiwa kiungo ambacho ni tiba mbadala mwilini na ni watu wanaokiheshimu sana chakula..
Muda wao rasmi wa kula ni saa 12-1 asubuhi
5-6 mchana
12-1 jioni
Chakula kikuu ubwabwa usio na kiungo chochote hata chumvi
Mboga ni lazima zisipungue 3 au4
Nyama/samaki 1
Mboga za majani 2
Supu/mchuzi
Pishi la mchina ufundi uko kwenye mboga
Formula ya kula
Asubuhi kula vizuri
Mchana kula ushibe
Jioni kula kidogo

Vyakula vyao huendana na majira..
Kuna vya majira ya joto
Kuna vyakula vya kiangazi
Kuna vyakula kipindi cha baridi
Nyama inayopendwa sana ni kitimoto na umbwa hii inajoto sana...
Nitaendelea kwenye maswali.. Mapicha pia kama yote😋😋😋View attachment 3357157View attachment 3358753View attachment 3358755
Ubwabwa wao wanachanganya na yai la kukaanga humo humo.
Eti konokono ni kitoweo cha wachina
Tena likiwa libichibanalimamanyu mle kwenye jumba lake anatia kwenye pilipili yake anasokomezea mdomoni.
Sio konokono tuu na wale funza wa kwenye mbolea ya ng'ombe pamoja na watoto wa panya vile vichanga kabisa a
 
Back
Top Bottom