Mambo mrembo
Mambo mabaya 😒Mambo mrembo
nini shida tena LamamaMambo mabaya 😒
Wenyeji wetu siku ya mwisho china walituandalia chakula zikiwemo Kaa. Hakika nilishindwa kumla ingawa ilikuwa special meal. Tuliambiwa at that time [2016] kaa mmoja ilikuwa sawa na USD 30Na vyakula vya ajabu ndio vyenye bei sana
😒nini shida tena Lamama